SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Sasa kuna watu hadi kwenye events wanaagiza ugali huko harusini au kwenye sherehe 🀣
 
Kwanza unawezaje kula ugali kama una options nyingine?
Ugali tulikua tunalia dhiki tu, kwa umasikini tuliokua nao hakukua na namna utaukwepa, kiuhalia ugali unapaswa kuliwa kama nyongeza tu au kwa hamu ili kuupa mwili energy, lakini siyo kuula kwa ndalilo.
 
Kamba
 
Hawa Wahindi Niko nao kwenye kampuni ni Vilaza hatari na hawaja wahi kula Ugali...
 
Ukiona chakula hakiliwi ulimwengubwa kwanza achana nacho,wazungu sio wajinga.
Chakula huendana na utamaduni, mila na desturi pia na mazingira ikiwemo upatikanaji...

Basi Wanaokula vyura na kono kono tungewaiga maana Wana akili sana kuliko sisi.
 
Wanaongelea Virutibisho na manufaa ya chakula wewe unaongelea hizo Addiction zako za ugali ambazo ni sawa na yule mlevi ambaye asipolewa/kunywa kilevi anapagawa.

Wazazi wameharibu watoto kwa kuwaendekeza chakula cha aina moja, matokeo yake watoto nao wameshakuwa addicted na aina hiyo ya vyakula hata ambavyo havina faida kiafya.

Ndiomaana akili za Watanzania wengi zinazidi kuwa dumavu sababu ya ulaji wetu mbovu wa mazoea na ubishi wa kufuata madactari/washauri wa tiba.

Inaumiza kuona mpaka wasomi nao hawajui wale nini, kutwa kushinda na hayo mavyakula ambayo ni useless ktk miili yao.

Tuache mazoea.
 
Nimesikitika sana.
 
Inategemea unakula ugali wa aina gani
Mimi nasaga mwenyewe
Mahindi, mahindi ya njano lishe, muhogo, mchele na mbegu za maboga vyote nachanganya..

Huo ugali ni noma wazee
 
Reactions: EEX

Baada ya kupitia michango ya watu wengi, nimeshutuka sana lakini pia nimegundua kuwa, tuna tatizo kubwa sana la uelewa wa masomo ya Sayansi. Kama mtu aliyefika kidato channe (hata kama ana D mbili) hana uwezo hata wa kutambua uzuri /umuhimu wa Ugali nafikiri tunatatizo kubwa.....
Hivi unataka, mafundi ujenzi, wakulima, wabeba mizigo, nk nk wale chips au piza???
 
Tatizo wengi tunakariri. Ugali umeliwa enzi na enzi katika nchi nyingi tu za kiafrika, kabla hata hayo mahindi hayajaingia katika bara hili.

Labda tatizo liwe kwa mahindi, sio ugali. Ugali uko wa aina nyingi, kulingana na unga uliotumika kuandaa. Kuna ugali wa muhogo, ugali wa mtama, ugali wa uwele na ugali wa unga wa mchele. Nasikia pia kuna ugali unaandaliwa kutokana na unga wa ndizi (migomba) japo sijawahi uona.

Sasa iweje mtu akisema ugali basi mawazo yote yanafikiri mahindi tu? Ugali hauna tatizo, wenye tatizo ni waliokariri ugali unatokana na mahindi tu.

Halafu izingatiwe kuwa kula ugali kunaambatanishwa na mboga. Pamoja na ugali kukupa wanga, mboga nayo itakupatia protini, madini na vinginevyo vingi tu.
 
Hicho ndicho Chakula kinachounganisha waafrika wote.
Nchi zote za Aftiva chakula kikuu ni ugali.
Na huenda ndio maana akili zao zinafanana ktk kudumaa aisee.
Chakula cha wanyama kuliwa na binadamu?!
 
Wazungu hawafanyi jambo bila utafiti wa kisayansi.
Ugali ungekuwa na manufaa kiafya mengi wazungu wasingeacha kula.
 
Wali Je?
 
UMEUTETEA SANA AISEE
 
Hawa Wahindi Niko nao kwenye kampuni ni Vilaza hatari na hawaja wahi kula Ugali...
Wahindi ni levels nyingine

  • Makampuni mengi makubwa Marekani wahindi wamepewa kuyaongoza
  • Tanzania matajiri wengi kwenye top list ni wahindi
 
hivi ugali huwa unapashwa ukipoa ?
Ndio,,fanya hivi chukua ugali ulopoa weka kwenye sufuria yenye maji then injika motoni,maji yachemke kabisaaaa,,ukija kuuopoa apo kitu kipyaaaaa,na wala hauyeyuki kua uji,,,manguli wa ugal tupo hapa.πŸ₯²πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…