Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kwa faida yao binafsi,Kwa faida ya nani?
Hawa ndo wanaharibu dunia yetu
Yaani mwanaume mzima badala ya kutumia neema aliyopewa na Muumba kwa kuwapa wanaostahiki,yeye anageuza kijambio chake kitumike vibaya.Wananuka VAVI. Pumbavu sana.
Kuhusu hili inategemea sasa yuko ktk umri gan, na muenendo wa tukio lenyewe, km yupo below 18yrs ntatafuta njia ya kusolve ikiwemo kudadisi kwa undani suala husika na yeye analichukuliaje, then ndo ntajua nichukue hatua zipi,Vipi mtoto wako wa kiume akitelezeshewa chatu utaona ni sawa na kumpongeza?
Kwa mabaya yepi hayo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zima hiyo kitu unayovuta wee binti. Unamuwaziaje mtoto wa mwenzako mabaya kiasi hiki?!!
Ndo ukweli wenyewe.Huku Afrika hivi visa nina uhakika viko vingi, lakini vitakuwa kuwa chini ya maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKwani hawapigi wale masista!!!?...wanachofata kwa watoto ni mnato
Na kulawiti pia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kila siku mashehe wanabaka?
Waislamu ndo wamejaa mashoga na mabasha kibao, tena wanaita sunnah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutetea upuuzi. Hakuna majitu mashoga na malawiti kama wakatoliki na waanglikana. Shame on you.
Ukweli ndio huu sasa.Huwezi kuacha kufunga milango ya nyumba yako halafu useme et wengine walifunga milango ila wezi walivunja na kuiba, kwahiyo kama kweli hatuvipendi hivi vitendo kwenye jamii basi lazima tuondoe mazingira rafiki ya kuwezesha kufanyika hivyo vitendo kadri tuwezavyo ili vipungue.
Mbna sasa hata hao wanao oa wanalawiti na uzinzi tyuuh? Au wanaemwake walio olewa wanachepuka? Ni tabia na hulka ya mtu tyuuh.Tatizo lilianza pale kwenye mwanaume rijali haruhusiwi kuoa na mwanamke eti wanaita sister hawaolewi kweli yanatoka kwa mungu hayo maagizo ila wana moyo sana.
Ni kwa kiasi chake.Ila idadi yao inakuwa sio kubwa sana kama wale wasio oa au kuolewa.