Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Unathibitishaje hilo.
 
Naomba kueleweshwa wakuu,Hivi hawa wamagharibi wamempiga vikwazo Mrusi asifanye biashara na wao ila wao wanataka awauzie gesi? au imekaaje!!
 
Baada ya Biden kuonywa na Trump kuwa kafanya kosa la karne kwa kuchezea sharubu za simba mkali na hivyo kahatarisha usalama wa Marekani (alipoongelea nia ya kubadilisha uongozi wa Russia), Biden kamtuma Waziri wake wa mambo ya nje Antony Blinken aje kubadili maneno (kumuombea msamaha Biden kimtindo). Blinken anasema Biden hakumaanisha hivyo kuwa anataka uongozi wa Russia ubadilishwe...

Hapa ndio utaona namna US inavyomuogopa Putin wa Russia



 
watu wameshaanza kuwasha mamitambo ya makaa ya mawe na nuke wakishastabilize wanaanza kuja kutoboa miamba Africa huku kwa kina January Makamba..
[emoji1][emoji1][emoji1] kwa hio global warming na mambo ya green energy yameishia wapi?
 
Kwani hizo nchi za ulaya zote population yao ikoje ukilinganisha na hizo nchi mbili India na china? Kwa sababu inaonekana huelewi nini maana ya biashara
Mkuu population sio hela wala sio dalili ya kwamba una uwezo kiuchumi, ni sawasawa na kufuga manyenje lakini mfukoni huna ata sh100
 
Mkuu marekani ndio kwanza wametangaza jana kwenye ule mkutano Poland, hakuna anayelia wamempuuza tu

Ooh lini sasa itawafikia hiyo gesi huko ulaya [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
Umejipa muda kutafuta Russia alikuwa anauza Cubic meters ngapi Ulaya?
Je kiasi hiki kinalingana na cha Urusi?

Pengo halizibiki kwa miaka ya karibuni na ndio maana unaona baadhi ya bank za Russia hazijaingizwa kwenye vikwazo na bado Ulaya wananunua gesi ya Russia.
Hoja mojawapo ya Ulaya kupinga kununua kwa pesa ya Russia ni kwamba bado zipo bank za Russia zinazoweza kutumiwa kufanya malipo kwa Euro au Dollar.

Tafuta taarifa huru usiendeshwe na ushabiki au propaganda za western media au za Russia. Kuwaondoa Russia kwenye SWIFT na kuzishikilia mali za warusi pia ni kuvunja mikata husika ya kibenki n ile ya uwekezaji.
 
What ever lakini lengo ni kumuumiza putini, tunaunga mkono juhudi za west

So hii miaka 8 watasubiria marekani [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] au wanaenda wp tuambie msemaji wa NATO?
 
Uhalisia wa mambo Putin amefanya hesabu za kawaida kabisa, hata kama hatafanikiwa kwenye hilo kutokana na utegemezi wa ulaya kwenye gesi ya Urusi hasa majira ya baridi ambako sehemu kubwa hutumia kwa ajili ya heating system za nyumba zao, kauli take hii will send strong shock wave kwenye sekta mbalimbali ambazo zinategemea gesi hii...

Nini kitatokea; anataraji kutapandisha gharama za uzalishaji na za maisha hivyo kuathiri chumi za nchi lengwa kwa muda mfupi, inaweza kuwa spiral hivyo kwa kuhofia kupoteza kazi au kushindwa kumudu gesi kwa majumbani wananchi wazishinikize serikali zao kutaka suluhu na URUSI....


Hizi ni hesabu ambazo matokeo yake yanategemea upande wa pili ufanye kama ulivyokisia, wakifanya vinginevyo inaweza kuwa majanga kwa Urusi yenyewe.... wacha tusubiri tuoni who will win
 
Mbona hayo mataifa mengine yanavunja hiyo mikataba au urusii Kuna nni acha afanye yake gesi Ni yake
 
Waache kutumia Russia gase kuni mbona zipo mikaa ya kutosha waache kulala ,[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Magufuli alipovunja mikataba mibovu ya madini mlikuja na ngonjera za hovyo kwamba nchi italipa kwa kubreach contract hatimaye iliishia wapi....putin anajua zaidi anachokifanya kuliko wewe mporipori.
 
Putini akikusanya 47% kwa ulaya sasa atazipata wapi, ivi ataweza kurudisha uchumi wake kwa kuuza gesi India, china na Iran??
China alishaanza kuuza gas anzia 2019 kwa njia bomba, google " Power of Siberia1" mwezi wa kwanza walianzia kujenga bomba kubwa zaidi kwenda hukohuko China linaitwa " Power of Siberia 2" kwaiyo ujue tu wakati linajengwa Nord Stream 2 kwenda Germany basi pia tayar process zilishaanza kujenga Power of Siberia 2 kwenda China.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China bwana wake ni Marekani akiambiwa mradi aachane nao ndio hakuna namna ataachana nao,, juzi aliposhutumiwa anapeleka silaha za kivita ukraine kuisaidia urusi ilibidi yule baloz wa China afunge safari hadi Washington kwenda kukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…