Have u noticed that Kenyans are celebrating the demise of the late and the rise of mama?? Have u noticed that her visit is largely anticipated by Kenyans??Rais needs to address Kenyans in a Language that Will be understood by many.
Kwahiyo kwa TanzaniaYes, particularly kwa Tanzania.
We we sio mzima nenda milembeHii lugha ya kiswahili haina soko. Kwasabb ilipaswa kubeba teknolojia/maarifa ambayo ndiyo yangevutia watu kujifunza kiswahili
Nakiogopaje wakati ninakimudu ipasavyo!Unaogopa kiingereza kama ukoma.
Mimi sio lofa mwenzako. Usijipendekeze.Wewe ndugu ni lofa mwenzangu tu acha hizoo!
Mkuu, ukiwajulia watu wa Jamiiforums huwezi kupata tabu!Moja Kati ya mambo yanayonisikitisha sana ni hii tabia ya baadhi ya WaTanzania kushobokea lugha za kigeni hasa hasa English na kuona kiswahili si mali kitu.
Laiti kama wangejua kuwa kwenye nchi nyingi tu ambazo zinatumia lugha zao wenyewe,ukiongea hiyo English yako watu wanakuona mshamba tu bila kujali kama ni "broken " au "fluent"
Lakini cha ajabu hapa Bongo baadhi ya watu wanawaona viongozi wao washamba kwa kuhutubia kwa kutumia kiswahili,inasikitisha sana.
Sisi kama TAIFA,TUMEKOSA MISINGI,tunafuata tu mkumbo!!
Kwahiyo huwezi kufanya diplomasia bila kizungu? Ona jinga hili!Muhimu kuongea lugha ya Kiingereza kuifikia dunia hata kama ni ziara ya Kenya ili kurudisha mguso wa kidiplomasia uliokuwa umepotea kwa Tanzania kimataifa
Languages of Kenya - WikipediaKenya lugha ya taifa ni English
Kwahiyo kwa Tanzania
Maarifa=Kiingereza?
Huyo Bibi sasha sijui kama anaelewa hili.Uko sahihi kabisa Ambokile Amanzi
Hadi sasa SADC wameanza kkujifunza Kiswahili. So Rais anatakiwa aendelee kukikuza.
Nimeuliza. Mi huwa nadhani ile dhana ya usomi ni kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasha ni makosa. Tena imefika mbali kwamba uwezo wa ubongo wa mtu unaangaliwa kwa hiyo lugha.Sijaelewa, una maanisha: Shule = Maarifa?
And then Maarifa iwe = Kiingereza?
Nimeuliza. Mi huwa nadhani ile dhana ya usomi ni kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasha ni makosa. Tena imefika mbali kwamba uwezo wa ubongo wa mtu unaangaliwa kwa hiyo lugha.
Tulipo sasa, MAARIFA=PESA
Watu duni hupenda kujadili watu wengine, watu welevu hujadili mawazoNdio maana unaitwa Denlson.
Mnyaturu wa singida ndani huko mavumbini unaitwa DENLSON...... Aisee!!!
Kwa kukusaidia tu "Bwana Denlson", Lugha ya Taifa ya Kenya ni Kizungu pamoja na Kiswahili. Na zote ni lugha rasmi zinazotambuliwa na Katiba yao mpya.
Kwako DENLSON.
Wacha manadharia yako bwana weye!Watu duni hupenda kujadili watu wengine, watu welevu hujadili mawazo
Rais kuongea Kiswahili kwenye ziara yake Kenya haitofanya lugha yetu ikue ghafla, ili Kiswahili kikue tunahitaji kuja na mikakati ya kukikuza, lazima tutengeneze uhitaji wa lugha ya Kiswahili duniani, lazima tuandike vitabu, lazima tuongeze bidhaa zitakazofanya Kiswahili kitafutwe duniani.
Sasa badala ya kujadili namna gani tutafanya hayo tunalazimisha Rais aongee akiwa ugenini. Unadhani kuna mtu ataenda kujifunza Kiswahili sababu Rais ameongea kwenye ziara Kenya?
Waganda wengi hawajui kiswahili na ila wa Kenya nadhani ataongea kiswahili tu ndio watu wengi watamuelewa na kinapendeza hasa akitia vile vijineno kama kudemka.Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Kiswahili kinakua bado hakijajitosheleza ndio maana imeashindikana kuwa lugha rasmi ya kufundishia sekondari na vyuo.Wacha manadharia yako bwana weye!
Kiswahili kilishakua na kuenea siku nyingi.
Na hapa wala sijasema lolote kuhusu kukuza Kiswahili.
Nakiogopaje wakati ninakimudu ipasavyo!
Wewe mzee wa ZE.. ZE.. ofkozi.. ZEA ZEA.. huwezi kuelewa hii.
Nani kasema imeshindikana?Kiswahili kinakua bado hakijajitosheleza ndio maana imeashindikana kuwa lugha rasmi ya kufundishia sekondari na vyuo.