Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Ukiamini Kiswahili hakiwezi kuibeba habari za sayansi na teknolojia, sijui unatafuta wapi?? Jisomee kuhusu Mlipuko Mkuu, Paralaksi, kasi ya nuru, mwatuko wa nyuklia (mifano michache...)Hii lugha ya kiswahili haina soko. Kwasabb ilipaswa kubeba teknolojia/maarifa ambayo ndiyo yangevutia watu kujifunza kiswahili
Lugha ya wakenya ni Kiswahili.Ukitaka kumfurahisha mgeni au mwenyeji wako zungumza lugha yake.
Pia ukitaka kumjua au kumshinda adui yako jifunze lugha yake.
Hilo lijamaa lilishakaririshwa kuwa ili uwe msomi lazima uongee kizungu.Ukiamini Kiswahili hakiwezi kuibeba habari za sayansi na teknolojia, sijui unatafuta wapi?? Jisomee kuhusu Mlipuko Mkuu, Paralaksi, kasi ya nuru, mwatuko wa nyuklia (mifano michache...)
Upo sahihi mkuuWalakini uko wapi hapo?
Hebu nioneshe.
Mkuu pambana na huyu huyu...mama yake anaingiaje kwenye mada hii..kuwa na heshima kwa wazazi wa wenzio...Hivi wewe, mama yako anajua Kizungu kweli? Eti?
Hata neno "tree" anaweza kulitamka bila kuvuja udenda!?
Hebu mwambie atamke "tree".
Ninataka kazi ya kuwa driver guide, sijui kiingereza, hapo nasogeaje kwa mfano?Kiswahili kinakufanya vipi ushindwe kusogea?!
We mysterio nina uhakika mama yako hajui kizungu.kutokujua kiingereza kunawatesa sana watanzania. Sijaona hoja ya maana aliyoitoa Mwa-ambokile, jitahidi uende shule, hujachelewa. Acha chuki na wivu
Duh, Ndaga- ndagaWe mysterio nina uhakika mama yako hajui kizungu.
Lakini cha ajabu zaidi umejipachika jina la paka wa scandinavia! Eti mysterio!
Hivi mama yako anaweza kutamka "mysterio" kweli?
Kujitia tia uzungu mwingi tu!
Unauliza majibu?Kisirani kiko wapi hapo?
Lengo ni kupiga ngeli au lengo watu waelewe kinachozungumzwa?Mwache mama apige ngeli, anaiweza sana. Huyu sio jiwe
Nani hasa haelewi? Watanzania au wakenya? Maana anahutubia bunge la wakenyaLeo ni kupiga ngeli au lengo watu waelewe kinachozungumzwa?
Yanayohutubiwa humo yanamuhusu nani?anahutubia bunge la wakenya
Sijui.Unauliza majibu?
Yana muhusu mkenya. Kama ni bunge la Tanzania linalokuhusu ameisha lihutubia. Ya wakenya waachie wao. Usimsumbue mamaYanayohutubiwa humo yanamuhusu nani?
Kweli JF ni kokoro... Hata waropokaji mpoTumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya...
Naunga mkono hoja!Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya...
Huyu hana point yoyote, kinachomsumbua ni kuona mama Mother anakimanya kidhungu tofauti na Mwendazake. Anaona kama kidhungu chama ni kama kina muanika MwendazakeInawezekana una point ya msingi ila uwasilishaji wako una walakini.
Inategemea ni mataifa yapi.lengo haeleweke kimataifa