Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

Usikariri kama kasuku wa kufugwa.

Hata Kiswahili ni "international language" pia.

Vinginevyo labda hujui maana ya neno "international".
kwanza mm sio "kasuku wa kufugwa" wako kwenye mabanda huko, zoo.. sijui.
pili namaanisha ukiangalia almost vifaa,bidhaa vingi vinavyotoka ulaya vinakuja na english as default language.
International meetings zina watu wa mataifa mbali mbali. ila ukiongea kingereza wanaelewa wote with minimal supervision ya mkalimani.
simply ni lugha ya kibiashara world wide.
ndio most known language before kiswahili.
 
Sawa.

Lakini hiyo inahusianaje na lugha itakayotumiwa kesho na Rais hapo Kenya?
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
huko kule ataomgea kimwambao akidadaja na lahaja za kiunguja na kiajemi yaani kiswahili fasaha, kukle UG alikua anatest mitambo tu mjue naye yumo.ova
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Mwache aone hadhira iiliyopo ni ya aina gani ataamua mwenyewe, lakini namwamini mama kuliko yule mtu ilikuwa aibu tupu! Kwanza asingekwenda huko kesho!
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Wee kibaraka wa magu huna lolote jiwe aliwaaminisha ujinga tu kwan kiingereza Ni tatzo au mnaona wivu jiwe alikua hajui huyu anajua
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Acha Kwanza atusafishe huko nje. Tuliaibika mno. Mwendazake Anatumia Kiswahili lkn anachomekea English.

Ukimwangalia sana alitamani ajue English ila ndo ivo tena Mola hakupi Kila kitu
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Hii sredi ungeiandika law kisukuma ndo tungeamini uko serious na lugha za nyumbani
 
Wewe nina uhakika hata Kizungu kikizungumzwa huna uwezo wa kukielewa.

Unabaki na zile you know zea zea.. ofkozii.

Jikite na Kiswahili bwana mdogo. Usijitutumue.
ha ha haa

Inakuwaje mtu anakuwa na uadui na lugha ya biashara?
 
Hata Kiswahili ni lugha ya kimataifa na ya kibiashara pia.

Kenya, Uganda, Rwanda, Congo... huko kote tunawasiliana nao na kufanya nao biashara kwa lugha ya Kiswahili.

Kwahiyo, kwa muktadha huo, Kiswahili kinakidhi kuwa na sifa ya lugha ya Kimataifa na Kibiashara.

Ni vile tu ulishakaririshwa kwenye shule ya kata uliyosomea kwamba, ili kitu chochote kiwe cha "kimataifa" lazima kihusishe Ulaya.
Reading between the lines sina uhakika kama unajua kinacho kuwa discussed hapa!!

Mkuu hapa tunazungumzia an Intercontinental language, yaani lugha ambayo unaweza kwenda popote Duniani ukaeleweka, lugha ambayo inatumiwa na marubani wote Duniani wanao rusha ndege zao kwenye anga nje ya mataifa yao, lugha ambayo makaputeni wote wa Meli wanalazimika kuijuwa hata kama ni kwa kubabgaiza.

Wataalamu wa ICT wanajuwa kwamba Mnemonics zinazo tumika ku-code machine code za micro processor zimeadikwa kwenye lugha ya kiingereza, si hilo tu hata majority ya computer application programs na Operating Systems zinakuwa coded kwa kutumia lugha ya kiingereza - web sites za mitandao tunazo tembela kila siku zote zimekuwa coded kwa markup language iliyo andikwa kwa kiingereza bila ya kujali kama pages zinasomeka kwa lugha ya kifaransa, kirusi, kichina, kijapan, kikorea, kiswahili au kihaya!

Sema chochote lakini mwisho wa siku watu ambao wana vast experience ya mambo mengi wanajuwa kwamba Kiingereza kitabakia kuwa ni baba lao la lugha zote hapa Duniani - tutake tusitake.

Haya mambo ya kukaa tunajidanganya kwamba lugha ya kiswahili siku moja itakuja kufikia au kuzidi lugha ya kiingereza kimuhimu hayo ni mawazo ya kisiasa na ukosefu wa upeo mkubwa wa kuchambanua mambo - kiswahili kuzungumzwa in East, Central and Southern Africa ni immaterial, repeat, kiswahili hakiwezi hata siku moja kupiku lugha ya kiingereza hasa kwenye nyanja za: Sayansi na teknolojia including medicine, sanaa(media nk) - kwa nini hujiulizi inakuwaje Wachina wana himiza watoto wao kukazania kujifunza lugha ya kiingereza of all languages spoken worldwide - sina shaka jibu unalo.
 
Umeandika mambo mengi ambayo yapo nje ya muktadha wa mada yangu.

Ninazungumza kuhusu ziara ya Rais nchini Kenya, wewe unaleta habari sijui za marubani.

Wakenya na Watanzania wanaunganishwa na lugha moja kuu ambayo ni Kiswahili.

Kwahiyo, hakuna sababu yoyote ya kuzungumza Kiingereza unapowasiliana na hadhira ya Wakenya na Watanzania.

Kuzungumza Kiingereza kwenye hadhira hiyo, ni kiherehere tu.

Hayo mambo sijui ya marubani na manini mengine ni mambo ambayo hayanihusu sana kwenye mada hii.
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Tatizo wewe una chuki binafsi na Ligha ya Kiingereza. Bahati mbaya ilikupitia ukashindwa kuiweza hiyo lugha, jawabu siyo kuichukia bali kujifunza, itakusaidia siku moja. Kadiri unavyokuwa na umahiri wa kuzungumza lugha nyingi ndivyo unapopanua wigo wako wa fursa za kuishi duniani.
 
Tatizo wewe una chuki binafsi na Lugha ya Kiingereza. Bahati mbaya ilikupitia ukashindwa kuiweza hiyo lugha, jawabu siyo kuichukia bali kujifunza, itakusaidia siku moja. Kadiri unavyokuwa na umahiri wa kuzungumza lugha nyingi ndivyo unapopanua wigo wako wa fursa za kuishi duniani.
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Sikubaliani na wewe kabisaa. Rais Samia Suuhu Hassan siyo Kiingereza cha "You Know You know ofcozi zea zea " kama wewe. Chukulia lugha kama daraja la mawasiliano baina ya mtu na mtu, n.k. Kwangu mimi atakavyozungumza sawa tu kwani siunganishi lugha na usomi wa mtu, kwani kwa uhakika kuna wasomi wanaozungumza Kiswahili fasaha tu pale inapofaa, au Kichina fasaha tu pale inapofaa, au Kijerumani fasaha tu pale inapofaa. Achana na fikra potofu hizo. Mara nyingi anayeshabikia ukabila/lugha/ukanda/udini/n.k ni Mkaburu tu.
 
Umeandika mambo mengi ambayo yapo nje ya muktadha wa mada yangu.

Ninazungumza kuhusu ziara ya Rais nchini Kenya, wewe unaleta habari sijui za marubani.

Wakenya na Watanzania wanaunganishwa na lugha moja kuu ambayo ni Kiswahili.

Kwahiyo, hakuna sababu yoyote ya kuzungumza Kiingereza unapowasiliana na hadhira ya Wakenya na Watanzania.

Kuzungumza Kiingereza kwenye hadhira hiyo, ni kiherehere tu.

Hayo mambo sijui ya marubani na manini mengine ni mambo ambayo hayanihusu sana kwenye mada hii.

..ungependekeza Rais Samia Suluhu azungumze lugha zote, Kiswahili, na Kiingereza.

..Wakenya wanamheshimu sana marehemu Mkapa[ marehemu ] kwasababu alikuwa akienda kule anawakoga kwa Kiingereza na Kiswahili fasaha.

cc Bukyanagandi
 
Back
Top Bottom