Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
- Thread starter
- #221
Unataka kusemaje?Huwezi kulinganisha uelewa wa Kiswahili Kenya na Uganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusemaje?Huwezi kulinganisha uelewa wa Kiswahili Kenya na Uganda.
Haya, njooni muone huyu ndondocha wa mabeberu.Mkuu Chige , nadhani ziara ya SSH nchini Kenya haina lengo la kuongea na wakenya kama mleta mada anavyodhani. Mama ana nia na jukumu la kupata platform nzuri ya kuelezea ninsi alivyo tofati na mtangulizi wake katika nyanja za biashara, uchumi na uwekezaji. Bila shaka ziara hiyo ni platform tu ya mama kuongea na mabeberu kujaribu ku-restore sintofahamu ya miaka takribani 6 ya mtangulizi wake. Kenya ni spika nzuri kwa wanaoitwa investors aka Mabeberu as wengi wao wamepafanya kama base ya shughuli kwa East Africa.
Media za Kenya zinasomwa na jumuiya kubwa ya kimataifa ukilinganisha na TZ, hivyo kwa vyovyote vile ili kuleta message ya moja kwa moja, inampasa na naamini mama aongee kiingereza. Clear message inahitajika hapa. Kamwe tusidhani ziara ya Mama ni ya kuongea na watu wa kibere kama mtoa mada anavyodhani. Is purely strategic visit.
Atajiaibisha sana na vizungu vyake vya kusoma.Nami ntamwona kama limbukeni, kama ataogopa kuzungumza Kiswahili.
Hiyo itakuwa dalili ya kwanza kabisa kwamba mama anayo matatizo ya kujiona kuwa yeye na watu wake ni duni mbele ya hao anaowatembelea.
Una stress kwa kiwango cha juu sana wewe. Wahi hospital ndugu.Haya, njooni muone huyu ndondocha wa mabeberu.
Uhuru Kenyatta hata akiwa Kenya anaongea Kiswahili vile vile!Rais wao pia kila akitutembelea anatumia Kiswahili..ata msiban aliongea Kiswahili vizuri Sana kuliko baadhi ya mawaziri wetu
Bibi Sasha hawezi japo kutamka neno "invitation".Umefanya utafiti au una ushahidi gani kusema eti kiingereza uchwara
Mbona unahangaika sana Kamanda?Zama zimebadilika ndugu. Umuhimu wa hadhira siyo idadi bali ni thamani yake. (Significance of the audience is not number but it's value).
Hakika.Asilia mia zaidi ya 80 ya mawasiliano Kenya ni kiswahili.Mfano mzuri ni mikutano yote ya siasa lugha inayotumika kiswahili ,mitaani ni kiswahili pia.Hii dhana Kenya ni Kiengereza tuu ni upotoshaji mkubwa. Mama ni vizuri kuongea kiswahili ziarani Kenya.
Vipi jombaa, mbona unalia?Una stress kwa kiwango cha juu sana wewe. Wahi hospital ndugu.
Aisee hii ni kweli.Kwanza umepotosha Mama Samia hana uwezo was kuhutubia kwa kizungu,hana na hata kuja kuwa nao.
Alisoma hutuba kwa kizungu,hakuhutubia.
Kusoma si shida as long as aliweza kujua right pronounciation ya maneno kwenye hotuba then she is good....aendelee hivohivo.....Kwanza umepotosha Mama Samia hana uwezo was kuhutubia kwa kizungu,hana na hata kuja kuwa nao.
Alisoma hutuba kwa kizungu,hakuhutubia.
SASHA ni nani? Mie nilidhani unamaanisha SSHBibi Sasha hawezi japo kutamka neno "invitation".
Ni vizuri atumie Kiswahili kuliko kudemka na vizungu vya kujilazimisha.
Kuonaje juu ya nini?We unaonaje?
Kwanza umepotosha Mama Samia hana uwezo was kuhutubia kwa kizungu,hana na hata kuja kuwa nao.
Alisoma hutuba kwa kizungu,hakuhutubia.
Kusoma si shida as long as aliweza kujua right pronounciation ya maneno kwenye hotuba then she is good....aendelee hivohivo.....
kusoma hotuba ya kiingereza kwa ufasaha kuanzia muktadha body language, na utamkaji wa maneno sio rahisi haya kidogo....she deserve praise on that.
Fanya utafiti ujifunze,usipende kukalilishwa vitu visivyo na tija,kuna nchi nyingi hazitumii kiingereza,zinaumia lugha zao za ASILI,lkn ziko vzr,hivyo hoja yako ni mfu,Hii lugha ya kiswahili haina soko. Kwasabb ilipaswa kubeba teknolojia/maarifa ambayo ndiyo yangevutia watu kujifunza kiswahili
Kwanini mtu anaetumia kingereza anapigwa sana vita na watu wanatumia kiswahili? Ni dhambi kutumia kingereza? Kwanza asilimia kubwa ya watanzania wamehitimu kidato cha nne kwahiyo nina imani kingereza mnakijua vizuri. Mama ataamua mwenyewe kutumia lugha atakayoona inamfaa kwa mazingira atakayokuwepo.Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Siyo kizungu.Kiingereza.Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.