Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

Katiba ya nchi ina elekeza lugha za taifa ni Kiswahili na Kiingereza (Nisahihishwe).

Tuache uvivu, ni muhimu kujua hizo lugha zote bila kupuuza yoyote.

Wala hatuhitaji teknolojia za ajabu kuzijua lugha hizo sambamba.

Na wala sio kusujudu wazungu bali kusujudu mawasiliano na maendeleo yetu wenyewe.
 
Asilia mia zaidi ya 80 ya mawasiliano Kenya ni kiswahili.Mfano mzuri ni mikutano yote ya siasa lugha inayotumika kiswahili ,mitaani ni kiswahili pia.Hii dhana Kenya ni Kiengereza tuu ni upotoshaji mkubwa. Mama ni vizuri kuongea kiswahili ziarani Kenya.
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Msimsonge songe Mama tafadhali. Kwenu hamna jema.
 
Umefanya utafiti au una ushahidi gani kusema eti kiingereza uchwara au kwa vile umetumia SHASHA, unamaanisha mtu mwingine? Na kama ni hivyo, kwanini tujadili mtu tusiyemjua? Na kama umeishamhukumu SSH kuna haja gani kujadili hoja hii uchwara pia?
 
Uganda akiongea Kiingereza, sawa tu manake wale jamaa wana bifu na Kiswahili!!

Kenya, kwa kuwakomoa tu, anapaswa atumie Kiswahili manake Kiswahili wanakijua vizuri lakini kutokana na ulimbukeni wao wa kumsujudia Mzungu, wanajifanya hawakijui!!
Rais wao pia kila akitutembelea anatumia Kiswahili..ata msiban aliongea Kiswahili vizuri Sana kuliko baadhi ya mawaziri wetu
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Ndugu yangu kama wewe uliogopa umande Kiingerza kika kupiga Chenga kaa kimya!!! Usitake kumlazimisha Mama Samia kutumia AKILI ZA MAGUFULI....Acha kabisa.
Mhe. RAIS Samia amealikwa rasmi na Mhe Uhuru Kenyatta kwenda kuhutubia mpaka Bunge la Kenya ambao kwa Katiba yao English ndo Lugha yao kitaifa. Mama yuko vizuri kwenye Slang mara 10 elfu kuliko hayati Jiwe.
Mwacheni mama akajidai na slang yake!!
 
Nami ntamwona kama limbukeni, kama ataogopa kuzungumza Kiswahili.

Hiyo itakuwa dalili ya kwanza kabisa kwamba mama anayo matatizo ya kujiona kuwa yeye na watu wake ni duni mbele ya hao anaowatembelea.
 
Uganda akiongea Kiingereza, sawa tu manake wale jamaa wana bifu na Kiswahili!!

Kenya, kwa kuwakomoa tu, anapaswa atumie Kiswahili manake Kiswahili wanakijua vizuri lakini kutokana na ulimbukeni wao wa kumsujudia Mzungu, wanajifanya hawakijui!!
Mkuu Chige , nadhani ziara ya SSH nchini Kenya haina lengo la kuongea na wakenya kama mleta mada anavyodhani. Mama ana nia na jukumu la kupata platform nzuri ya kuelezea ninsi alivyo tofati na mtangulizi wake katika nyanja za biashara, uchumi na uwekezaji. Bila shaka ziara hiyo ni platform tu ya mama kuongea na mabeberu kujaribu ku-restore sintofahamu ya miaka takribani 6 ya mtangulizi wake. Kenya ni spika nzuri kwa wanaoitwa investors aka Mabeberu as wengi wao wamepafanya kama base ya shughuli zao kwa East Africa.
Pia kumbuka Media za Kenya zinasomwa na jumuiya kubwa ya kimataifa ukilinganisha na TZ, hivyo kwa vyovyote vile ili kuleta message ya moja kwa moja, inampasa na naamini mama aongee kiingereza. Clear message inahitajika hapa. Kamwe tusidhani ziara ya Mama ni ya kuongea na watu wa kibera kama mtoa mada anavyodhani. Purely ni strategic visit.
 
Umefanya utafiti au una ushahidi gani kusema eti kiingereza uchwara au kwa vile umetumia SHASHA, unamaanisha mtu mwingine? Na kama ni hivyo, kwanini tujadili mtu tusiyemjua? Na kama umeishamhukumu SSH kuna haja gani kujadili hoja hii uchwara pia?
We unaonaje?
 
Tumesikia Rais Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.

Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.

Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.

Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.

Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.

Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?

Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.

Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.

Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.

Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.

Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.

Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Huwezi kulinganisha uelewa wa Kiswahili Kenya na Uganda.
 
Back
Top Bottom