Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

Dah, nimeingia tu jf nakutana na hii post nikiwa naelekea kwenye liquor store kuzimua!

Mimi kama mnywaji, nashauri pombe inyweke kama sehemu ya kurefresh mind baada ya majukumu na baada ya kujiridhisha kbs kuwa account imesoma vzr.
 
Usipangie watu matumizi!
Kila mtu anatafuta hela kwa njia anayojua yeye !
Yani mtu atafute hela kwa jasho lake, atokee mpuuzi huko ampangie matumizi ?
 
Usipangie watu matumizi!
Kila mtu anatafuta hela kwa njia anayojua yeye !
Yani mtu atafute hela kwa jasho lake, atokee mpuuzi huko ampangie matumizi ?
Mkuu usimfedheheshe mleta mada, mleta mada kaleta mada nzuri sana hasa Kwa sisi wadau wa vileo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ