Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

Mwenye Hela anakunywa glass moja tu
 
Mnywaji anamuona asiyekunywa anajitesa.
Asiyekunywa anamuona mnywaji kapotea.

MAONI YANGU
kila mtu aishi maisha yake.
 
Bila pombe kuna maamuzi magumu sana kwenye maisha nisingeyachukua. Heshimu pombe, Heshimu wanywaji. Pia huwa sipendi ushauri wakati nakata maji
Kabisa binafsi mimi pia pombe imekutanisha na marafiki wa maana sana kwenye maisha yangu , watu wanachukulia poa ila kuna mishe ni ngumu kuzifanya bila kukaa na mataita na wote wanapatikana bar .
 
Ni kuahilisha matatizo kwa muda kwa ganzi ya ulevi!Tamutamu bia tamu.
 
Nakunywa kama starehe, kujipa amani, kutafakari maisha yangu,

sinywi pombe kama kujisahaulisha, nikagombane sjui kusaka kitu gani sjui sipo huko,

Naweza piga hata chupa saba nane nikawa kawaida nisipige kelele, usumbufu wala kutoa ahadi za uwongo

Drink responsibly cc Dr am 4 real PhD
 
Pombe haitaki stress na ukata, mtu ataharibu maisha yake kbs, hivyo basi watu wasinywe kutafuta faraja ya matatizo.
Kabisa mimi kuna kipindi niliacha pombe na pesa zikapotea kabisa yani michongo ikawa haisomi sijui kwanini๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ