Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

Mimi pia ni nadra kuanza kupiga story na watu ovyo ovyo nipogo cool Sana mkuu.

Na ndio UNYWAJI WANGU wa namna hii unakuaga very responsible.
 
Mimi pia ni nadra kuanza kupiga story na watu ovyo ovyo nipogo cool Sana mkuu.

Na ndio UNYWAJI WANGU wa namna hii unakuaga very responsible.
Mimi nadhani hata siku ukiniona utajiuliza huyu ndo anayefagilia mitungi coz kwa ile mitazamo ya watu sifananii hata kidogo wanavyo dai wao,

Basi siku moja tumetoka grup la washkj kama saba, Tukaagiza mzgo tulikubaliana bia ili maongezi yatawale unywaji tofaut na spirits ambayo ingehamisha uhalisia wetu mapema,

Bia zikaja mezani eeh bhn kwanza mm nikasema nagonga safari lager tuu ndo nayoipenda au Serengeti ama Heineken,

Ya kwanza ya pili, ya tatu me niko nimetulia nawacheki washkj washaanza kuvurugwa aaaah me nipo tuu nikinyanyuka ni washing room, narudi na mpka bia iishe, ndo ntaenda

Basi tumekaa pale mpka saa saba hv, aah washkj wako hoi me nawa zoom tuu toka siku hiyo wakajua mm ni weka mbali na watoto,

Nb: napenda nikiwa nakunywa niburudishwe na live band, karaoke hv, au rhumba + oldies, ama watu wanaocheza ndo furaha yangu Ila sio mm nipande juu ya meza nop,

Kwenye oldies na rhumba kulimfanya secretarybird apoteze nywila za jukwaani baada ya kunywa bia za kaunti ya kwale, huko nchini Kenya.
 
Hahaha 🀣
 
Spirit Ina haribu uhalisia mapema πŸ˜‚ πŸ˜†

Madini Sana ndugu yangu Asante Sana kwa hii experience NZURII MNO kwetu najifunza mengi Sanaa

Mimi pia hakuna mtu anae jua kua huwa nakunywaga na sijawai kuzingua kabisa kabisa.
 
Kwanza wanywa spirits wengi wastaaraabu nilivyo ona, yaan akikaa kaa ni yeye na chupa na utulivu tuu,

Watu wa bia sasa oyaah kinaumana πŸ˜‚

Hata mimi aseeh, sijawahi
 
Mkuu sidhani kama ulichoandika kinatofauti na nlichopost, pitia uzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…