Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

Ulevi ni janga linaloua kimya kimya kwa njia nyingi. Kwanza ikiwa ni kutapanya pesa, ushiriki wa ngono zembe, uharibifu wa ini, figo moyo, msongo wa mawazo, shinikizo la damu, saratanu na kisukari. Binafsi nimefikia hitimisho kuwa swala la pombe huenda linaratibiwa na shetani ili kuwatumbukiza wanadamu kwenye utumwa wa dhambi, maana linapokuja swala la kuacha pombe, vita inayopiganwa kwenye nafsi huwa ni kubwa hatari. Unaweza urodhosha hasara zote ulizozipata kwenye ulevi lakini bado unajikuta umeangukia kwenye ulevi tena. Vijana tumuombe sana Mwenyezi Mungu atusaidie kushinda ulevi.
 
Kuna WALEVI/ WANYWAJI ni vitu viwili tofauti kabisa. Mimi ni mnywaji pia hata hayati baba wa taifa Nyerere alikuaga anakunywa.

NB. Mimi sio mtetezi wa walevi




 
Kuna wakati fulani nilikuwa nakunywa Pombe kila siku tena heavily kabisa, Ilifika kuanzia Alhamis inakuwa balaa sana mpaka J3 kidogo ndio na slow down, Hii kasumba imeenda ila automatic tu nikaja kupoteza interest na Pombe na unywaji ukawa very occasional yani ata twice a month labda.

What i have come to note ni kuwa kila kitu kina wakati wala sio age wala nini kila kitu kina Purpose ya kutokea.
 
Ulevi ni maladaptive lifestyle. Walichofanikiwa wawekezaji wa huduma za vilabu vya pombe ni kuipromote kama iwe tabia ya wajanja ila ukweli ulevi ni uhuni, uzembe, na hatari Kwa afya.

Kutokua na uwezo wa kukabili presha za maisha ndio chanzo cha tabia yenye urahibu.

Matokeo positive ya ulevi ni ya muda mfupi ila in long run ulevi ni ugonjwa na hasala.
 
Msitupangie.. niwe nalewa kufurahia maisha ama kukwepa realities we haikuhusu unless uwe una mpango wa kuninunulia pombe

Kama ni figo kufeli haiwahusu, tutakufa tuwaachie dunia yenu wanywa maji na juisi za matikiti.

In the end death always win, death is the ultimate master. But legends only die once!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…