Ulianzaje kukaa gheto?

Kitanda na godoro laki nne inabaki laki sita.....hapo kodi ya pango hujalipa bado

Kama anataka kulala chini kwanza kwa godori tu na kapeti anapanga vizuri tu...
Badoo vyombo vya ndani,kapeti,meza,stuli daah
 
Hapa nina million cash ila nashindwa kuhamia getto maisha magumu

Nimekutana na mtu ana milioni humu na hajui aanzie wapi, [emoji16] aisee, kwa kipato changu wakati naanza kupanga ilinihitaji miezi minne kuingiza iyo kama kipato, achana na savings na matumizi [emoji23][emoji23] na nawaambia nilikua nimenunua pallets za 20k na godoro la 100k nishalipa chumba 90k naanza maisha na jiko la mkaa pamoja na jaba mixa vibeseni na visahani, yaani kwa ujumla vyombo havikuzidi 30k na mapazia yangu, but sasa hivi nipo na progress japo kidogo ila sio kama mwanzo kwani bro uanataka kupanga nyumba nzima?
 
Bana niulize PM pls [emoji1787][emoji1787]
Ila kitanda 250+
Godoro inchi 8 itapendeza zaidi 200K+
Stand ya jiko 100K
Kabati 2doors 280+
Kingine??


Kama huna sabb za kutoka tulia kwa mama [emoji1787][emoji1787]

Quan Lup

Huna haja ya kuanza na vitu vyote hivi
 
Cabinet yako nzuri. Naweza pata pic yake tu?
 
Maisha yanaanza na ulichonacho mimi nimeshangaa kweli ml 1 mtu unasema unaanzaje anzaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…