Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.
Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).
Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu[emoji23]
Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
Mkuu saiv nakosa amani sababu ya bufa feni nshachukua ya kishkaji ila soon tu navuta sabufa maana getto kumepoa sanaHongera sana man... Me bado carpet tu then nitashare na vijana wengine... Sema usisahau sabufa na feni mkuu pambania san hizo mambo.
Kwel kabsa mkuu aluta continua[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] nakubali, hongera sana brother, Mungu akutangulie Mdogo Mdogo [emoji299]️
Mimi nko chuo mwaka wa kwanza tayar nna kwangu aisee ni utawala ile mbaya hata akil yangu naikubal saiv inawaza kupambana sanaHii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.
Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).
Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu[emoji23]
Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
Kuna vitu fulani fulani hivi mlongo[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo n vitu gan hivyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kodi sh.ngapi?Unaonekana we ni lastborn Mana haiwesekani umepanga afu unarudi kwenu kufanya usafi [emoji23][emoji23][emoji23] anyway hapa mtaan kwetu Kuna chumba kinapangishwa njoo ulipe kabisa kodi
Gheto sio sehemu ya kuingiza wanawake mtu unawaza upange ili uchakate papuchi aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutafika mbinguni tumechoka sanaHii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.
Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).
Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu[emoji23]
Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huyo shetani ashindwe, thubutuuuh, hebu tulizana.Kuna vitu fulani fulani hivi mlongo[emoji28]
Si unajua kuna umri fulan hivi wa kujaribu jaribu vitu[emoji2440][emoji2440][emoji2440]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inashangaza kwa kweli.Gheto sio sehemu ya kuingiza wanawake mtu unawaza upange ili uchakate papuchi aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutafika mbinguni tumechoka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natulizana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huyo shetani ashindwe, thubutuuuh, hebu tulizana.
Ila ghettos raha bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]natulizana
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Nikiwazaga hayo makodi tu stimu inakata,[emoji28] mangi mie bora nijenge ata ya tope niishi kwanguIla ghettos raha bhana, [emoji23][emoji23][emoji23]
Shida muda wa kulipa kodi, hasa mwenye nyumba awe mkali na huna wakat huo,
Utaimba,kusifu na kuabudu, utaimba mapambio yote,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi ufanikishe leo sasa?Nikiwazaga hayo makodi tu stimu inakata,[emoji28] mangi mie bora nijenge ata ya tope niishi kwangu
Kupanga nako shida tu,lakini basi tu
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji28]si unajua kule kwetu kiwanja hadi cha laki unapata Liganga kigonsera chochi huko[emoji1787]. Sasa kujenga na unaezeka nyasi eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi ufanikishe leo sasa?
Sijaelewa. Ni mama nzuri ukimaanisha...?mi baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu
Sweet life[emoji23]Nipo nachoma zangu nyama
Nkapike ugali getooo
Alah [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vitu fulani fulani hivi mlongo[emoji28]
Si unajua kuna umri fulan hivi wa kujaribu jaribu vitu[emoji2440][emoji2440][emoji2440]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app