Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Kuwa introvert ni shida sana
sehemu ya kujimwambafai pekee ni huku social media.
Sometimes tunaenjoy kampani yetu wenyewe sometimes tunaumia ndani kwa ndani na inachosha sana.
Naendaga hadi kwenye vijiwe kupoteza mda cha ajabu sichangii kitu zaidi ya kusikiliza tuu hata kama kitu nakijua.
Watu niliozoeana nao sana ni wazazi na wanafamilia maybe na watu nilinao kwenye discussion lakini wengine huku mtaani ni patupu.
Hasa hasa weekend kukiwa hamna mechi yeyote utaumia mzee.