Ulianzaje kukaa gheto?

Na bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?
Tcl yuko juu
Lakini hawajapishana sana


Wakati mm nanunua niliomba niwashiwe zote TCL na Hisense.
Tcl ilikuwa na clearly view β€˜inatoa kama mtu alivyo.
Hisense ikawa kama imepigwa filter..

Pamoja na hayo yote lkn nilichukua Hisense.
Na bei zilikuwa na mpishano wa kama 20/30K hivi.
Kwa nchi 32’

Soon naiondoa
Naiona imekuwa ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…