Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Na bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?
Tcl yuko juu
Lakini hawajapishana sana


Wakati mm nanunua niliomba niwashiwe zote TCL na Hisense.
Tcl ilikuwa na clearly view ‘inatoa kama mtu alivyo.
Hisense ikawa kama imepigwa filter..

Pamoja na hayo yote lkn nilichukua Hisense.
Na bei zilikuwa na mpishano wa kama 20/30K hivi.
Kwa nchi 32’

Soon naiondoa
Naiona imekuwa ndogo
 
Mwaka mpya na mambo[emoji91]

Mwaka huu inshaaAllah nimepanga nibadili/kuongeza vitu kadhaa,

Nashukuru kwa mwaka jana nilifanikisha vitu kadhaa[emoj
 

Attachments

  • IMG_20230102_070355.jpg
    IMG_20230102_070355.jpg
    75.7 KB · Views: 52
Back
Top Bottom