Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,365
- 2,842
Na bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?Yeah, japokuwa me ni mdau wa Hisense ila nakubali kuwa TCL wako vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?Yeah, japokuwa me ni mdau wa Hisense ila nakubali kuwa TCL wako vizuri sana
Boss mimi niko Iringa,Mafinga.Nimetoka kuisave hapa kumbe mhusika upo humu huku, unapatikana mkoa gani mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tcl yuko juuNa bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?
We kwenu umetoka lini? 😂😂Mwaka mpya na mambo[emoji91]
Mwaka huu inshaaAllah nimepanga nibadili/kuongeza vitu kadhaa,
Nashukuru kwa mwaka jana nilifanikisha vitu kadhaa[emoji1545]View attachment 2466214
Mwaka jana nilisema mwezi wa sita[emoji16],We kwenu umetoka lini? [emoji23][emoji23]
Endelea kula ugali wa bure hapo 🥰Mwaka jana nilisema mwezi wa sita[emoji16],
Mwaka huu tena nawaza hapa[emoji23]
Twenzetu tukajipimie mapori hayo[emoji28]Ndiyo nawe unaanzisha kijiji chako,
Nawaza hivi,
Kuna kijiji niliendaga nikawauliza wenyeji, hivi huku nikitaka shamba au kiwanja mnauzaje??
Wakaniambia wewe kama unataka unajipimia hayo mapori hayana mwenyewe[emoji23]
Kwann usiiweke ukutaniMwaka mpya na mambo[emoji91]
Mwaka huu inshaaAllah nimepanga nibadili/kuongeza vitu kadhaa,
Nashukuru kwa mwaka jana nilifanikisha vitu kadhaa[emoji1545]View attachment 2466214
Kuhama home labda nihame mkoa[emoji23]Endelea kula ugali wa bure hapo [emoji3059]
Huku nje sio poa, ni vile tu tuko kwenye mikoa ambayo wazazi hawapo
Ngoja nimpate jirani mwingine tukajipimieTwenzetu tukajipimie mapori hayo[emoji28]
Sasa kwanini umesema unabadili vitu 😂 unabadilije vitu vya wazazi.Kuhama home labda nihame mkoa[emoji23]
Tunaanzisha kijiji chetuNgoja nimpate jirani mwingine tukajipimie
Naomba nije kulala hapo[emoji3]
🤪😁 matamanio yalitimiaUshabadili??
Hongera
Vya kwngu mwenyewe kwenye ka room kangu[emoji23], si nilikuambiaga nimeambiwa ninunue Tv yangu[emoji23]Sasa kwanini umesema unabadili vitu [emoji23] unabadilije vitu vya wazazi.
Eh ya Tv nakumbukaVya kwngu mwenyewe kwenye ka room kangu[emoji23], si nilikuambiaga nimeambiwa ninunue Tv yangu[emoji23]
Hongeraaaa[emoji3059][emoji2957][emoji16] matamanio yalitimia
Hata siku kikiumana nanyanyua vyangu naamsha,japo nishaambiwa ukitaka kusepa ondoka wewe na nguo zako tu[emoji23]Eh ya Tv nakumbuka
Unakajaza mdo mdo [emoji16] safii