Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Daaah jamaa namkubali sana anajua aseeee
Ewaaa hujasahau hata mmoja hapo mkuuu[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...
Davido
Psquire
2face
Wizkid
Burnaboy
Patoranking
Olamide
Kizz Daniel
Rema
Ruger
Asake
Oma lay
Ckay
Ycee
Dbanj
Falz
Joeboy
Timaya
Adekunle
Ladipoe
Spinall
Spyro
Mr Eaz
Zlatan
Dapo Tuburma
Kibongobongo ukimtoa Mondi,Rayvany, Konde na Alikiba(kidoooooogo) waliobaki wote hawaimbi nyimbo za ushindani utaisikia mara Mungu baba tusamehe tumekuuuuja,bia tamu,watakubali n.k ngoma ambazo tunasikiliza gheto wakati wa kufanya dhambi na zinaishia ukuuku maghetton hazifiki popote.Ewaaa hujasahau hata mmoja hapo mkuuu
Wanaija ni moto sana wapo very creative kwenye kila kituKibongobongo ukimtoa Mondi,Rayvany, Konde na Alikiba(kidoooooogo) waliobaki wote hawaimbi nyimbo za ushindani utaisikia mara Mungu baba tusamehe tumekuuuuja,bia tamu,watakubali n.k ngoma ambazo tunasikiliza gheto wakati wa kufanya dhambi na zinaishia ukuuku maghetton hazifiki popote.
Hao juu Nigeria kila mmoja nina ngoma yake ata moja na zote moto..
Alaf wala hawaringiWanaija ni moto sana wapo very creative kwenye kila kitu
[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...
Davido
Psquire
2face
Wizkid
Burnaboy
Patoranking
Olamide
Kizz Daniel
Rema
Ruger
Asake
Oma lay
Ckay
Ycee
Dbanj
Falz
Joeboy
Timaya
Adekunle
Ladipoe
Spinall
Spyro
Mr Eaz
Zlatan
Dapo Tuburma
Olamide
Ycee
Patoranking
Hivi vichwa sijawahi kuvipinga kabsa hasa uyo baddo sneh namuelewa sana ila sa hv kawa kama god father haimbi sana kawaachia vijanaWizkid
Fireboy,Asake n.k wamepita kwake mwamba uyoHivi vichwa sijawahi kuvipinga kabsa hasa uyo baddo sneh namuelewa sana ila sa hv kawa kama god father haimbi sana kawaachia vijana
Wengi sana kuna lil kesh alitikisa san 2014-18
Anajua sana mchizi wetu wa infinityWengi sana kuna lil kesh alitikisa san 2014-18
kuna adekunle gold, demu flani hv hata naira marley jamaa kamga sana suport kiond anajitafta
[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...
Davido
Psquire
2face
Wizkid
Burnaboy
Patoranking
Olamide
Kizz Daniel
Rema
Ruger
Asake
Oma lay
Ckay
Ycee
Dbanj
Falz
Joeboy
Timaya
Adekunle
Ladipoe
Spinall
Spyro
Mr Eaz
Zlatan
Dapo Tuburma
[emoji23][emoji23][emoji23]Oya mbona kam club huumii macho
HongeraHabari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Habari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unaharibu kaaaazi Home boiHivi kumuita mwanamke wa mpangaji mwenzangu "mrembo" ni shida wakuu? Jamaa hajamuoa ni mtu wake tu.
We jamaa utakua si muelewa kabisa, kwa style unayotaka kuishi wewe hautaelewana na watu.Hivi kumuita mwanamke wa mpangaji mwenzangu "mrembo" ni shida wakuu? Jamaa hajamuoa ni mtu wake tu.
Frsh kaka sema jamaa ni mshkaji wangu kiasi tuUnaharibu kaaaazi Home boi
Jamaa akisikia hawezi kukuelewa
Sio muelewa kiaje man?We jamaa utakua si muelewa kabisa, kwa style unayotaka kuishi wewe hautaelewana na watu.
😁😁😁Unaonekana mshari mshari kama sio mkurya basi muha au msukuma 😁Sio muelewa kiaje man?
[emoji23][emoji23]hamna bhana ni katika kuuliza tu sio mkewe alaf jamaa ni mshkaji wangu kiasi na hamind wala nini na hata hvyo uyo mlimbwende sio kama namuita kila mara hapana ni baadhi ya muda tu tena kimasikhara jamaa akiwepo utasikia namuita "mrembo wa nyumba hii"[emoji16][emoji16][emoji16]Unaonekana mshari mshari kama sio mkurya basi muha au msukuma [emoji16]