Ulianzaje kukaa gheto?

Hahahahhha unaweza kumuita kimasikhara hv afu demu akajaa😁😁
 
Hahahahhha unaweza kumuita kimasikhara hv afu demu akajaa[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787]kumbe ndo maana mwamba juu apo akanambia habari ya kutokuwa muelewa, Basi me sipo uko kabisa yaani sina hisia nae KABISAAAA me bhana namuheshim sana mpenzi wa mtu hatakama hapendwi ila narespect lakin pia sina tamaa nao maana me wangu nikipiga simu uyu apa ghetto na anabonge la natural booty sema itabidi niache tu asijekujaa mdada wa watu
 
Kabsa 😁😁 tatzo swali lako uliliuliza kiuchokozi au kidharau kama vile upo kwenye harakat za kumla kimasikhara vile....unamuitaje demu wa mrembo wakat bwanaake yupo apo apo si atahisi kama upo kwenye harakat za kumpndua hv
 
Kabsa [emoji16][emoji16] tatzo swali lako uliliuliza kiuchokozi au kidharau kama vile upo kwenye harakat za kumla kimasikhara vile....unamuitaje demu wa mrembo wakat bwanaake yupo apo apo si atahisi kama upo kwenye harakat za kumpndua hv
[emoji16][emoji16][emoji16]itakuwa kwenye kuliwasilisha nmekosea kuna jamaang alinisikia nikimuita nae alikuwa na mawazo me napiga mingle ndo nikalileta kuuliza kwa wazee wa maghetto
 
[emoji16][emoji16][emoji16]itakuwa kwenye kuliwasilisha nmekosea kuna jamaang alinisikia nikimuita nae alikuwa na mawazo me napiga mingle ndo nikalileta kuuliza kwa wazee wa maghetto
Hahahahah kabsa kabsa kak mkubwaah uskute hata uyo dada nae anawaza kama ambavyo tulivokua tunawazia ss
 
Kua na demu wako hakuzuii kumchakata, inavyoneka unaanzia mbali sana ili uje upige kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…