Ulianzaje kukaa gheto?

Nikisimulia A to now (Z is death) ya hustle zangu nitareveal my identity so i better keep my mouth shut!

All in all vijana tupige kazi. You are the only person who can save your a$$ in this world.

Hustle more mpaka uachane na life la kulala chumba kimoja na ndoo za maji, gesi za majiko, viatu, TV humo humo.

It's possible.
 

Khaaaa huyo mtu ni hatari miaka 29 unakubali kudekishwa. M nakumbuka natoa proposal ya kupanga brother wangu akanizuia alitaka nibaki nyumbani nimsaidie baba shughuli za home hasa za kutunza mifugo yake, kma nikitaka hela nimuambie atakua ananisapoti kisa yeye ni mwajiliwa.

Nikasema poa broo siku ya pili tu nikamuomba milioni 2 nifanyie biashara akasema hana, akaja kusikia niko gheto baada ya miezi 2 mbele.
Siku karudi home baada ya kupata likizo kagoma kufikia home kaja kulala ghetto kwangu.

Ko huyo dgo asipojiongeza mwenyewe atakoma hapo, anaefanyiwa kazi hata mshauri kuondoka ataliacha tu lideki vyoo ving'ae huku anasindikizwa na kejeli na majungu kibao
 
Kweli kabisaa ujingaa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaza man, ila hapo kimsingi basics za ghetto la kiume zipo tayari.
~Kitanda
~Jiko
~Mziki wa kupunguzia kelele za minjunjano [emoji23]
Thanx mkuu hivyo nilivitafuta hata kabla sijaingia maghetoni
 
Sure,
 
Neti za chuma, znadondoka ukiwa ktk harakati zetu zile
 
Hahaha a umetisha
 
Nipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
Eee ndugu yangu fanya fasta fasta hama home kajitegemew
 
Pole sana pambana anza kuweka kidogo kidogo utatoka
Nipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
 
Home ukikaa tatizo lake unakuwa msukule bila kupenda.
 
Kwanza kabisa heshima zimuendee muanzishaji wa hii thead kwa wageni wa izi mambo tunapata experience apa

then na mimi nichangie kidogo apa japo sijaanza rasmi kuwa gheto ila tayari nipo gheto kwa mda....bado napambana na module ila kwa sasa nipo field, niliona kwa mda ambao nipo field na baada ya kukataa kujistiri kwa ndugu nikaona nijikakamue na chench iliyobak kutoka uko chuoni nijaribu kuexperience maisha ya gheto mana mda sio mrefu nitaitaji kuanza rasmi kuwa mwenzenu...chuoni nilikua na ela ya boom tu ambayo ndo natumia kulipa ada na vitu vingine vyote hivyo iliitaji akili ya ziada kuweza kuipangilia iyo ela ibaki na ya kuja kusukuma maisha uku mtaani.....nimejitaidi nimelipa kodi ya mda nitakaokaa then changamoto ikaja either kununua jiko ndo rahisi au bora kula gengeni....nikaona kwa hali niliyonayo bora nijilie gengeni mana nikisema ninunue jiko nitakua na vitu vingine vingi vya kununua...apa vijicent nilivyokua navyo vimekata masisha yanazidi kua magumu....apa nimejinunua kigodoro changu cha futi nne nimekitandaza chini siku zinasonga namshukuru mungu.....maisha ni haya haya amna mengine so inabidi tu kujiset taratibu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…