Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Muhimu sana hvyo vitu kujuaDah inabidi nitumie hayo maujuzi nisije nikalazwa nje
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu sana hvyo vitu kujuaDah inabidi nitumie hayo maujuzi nisije nikalazwa nje
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Tuendelee kukumbushana wadau
Geto sio la milele
Hivyo tutafute vibunda
Tu enjoy kidogo kwa muda
Tuongeze thamani ya maisha yetu
Tutoe sadaka/tuwasaidie wengine
Na mwisho kabisa TUFANYE KUWEKA AKIBA
ili
Tule batata baadae mojakwamoja
Maisha yetu yawe na thamani ya wakati wote
Tuwasaidie wengine kikamilifu
Na mwisho kabisa tuwe na nyumba/biashara zetu + ndiga ya ndoto zetu
Kumbuka——mafanikio ya kweli na ya raha ni yale uliyoyashuhudia jasho lake
Ipe thamani kila pesa yako hata iwe 100
Make sure kuna watu wanakuita MBAHILI KAMA NINI![emoji854]
[emoji23][emoji23]Kudadadeki..
Jf sihami
Ilibidi aisee maana kingenuka sahv ningekuwa nipo Gerezan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ukakabeba mgongoni
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Wanawake hususani unaofanya nao kazi usipokua makini kila siku utatoboka kununua lunch
Utasikia yani wewe mbahili hata kutununulia lunch jaman...wanataka daily uwe unatoboka
Kelphin you nailed it.Tuendelee kukumbushana wadau
Geto sio la milele
Hivyo tutafute vibunda
Tu enjoy kidogo kwa muda
Tuongeze thamani ya maisha yetu
Tutoe sadaka/tuwasaidie wengine
Na mwisho kabisa TUFANYE KUWEKA AKIBA
ili
Tule batata baadae mojakwamoja
Maisha yetu yawe na thamani ya wakati wote
Tuwasaidie wengine kikamilifu
Na mwisho kabisa tuwe na nyumba/biashara zetu + ndiga ya ndoto zetu
Kumbuka——mafanikio ya kweli na ya raha ni yale uliyoyashuhudia jasho lake
Ipe thamani kila pesa yako hata iwe 100
Make sure kuna watu wanakuita MBAHILI KAMA NINI![emoji854]
[emoji2][emoji2][emoji2]taratibu mkuu wasijesema tumepangisha mpangaji kibaka
Jana nimechokonoa chap tu kitu kimejibu[emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji2]taratibu mkuu wasijesema tumepangisha mpangaji kibaka
Wanasema science haiongopi[emoji16]Jana nimechokonoa chap tu kitu kimejibu[emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Wataalamu wanaita bypassing[emoji28]Wanasema science haiongopi[emoji16]
Kelphin you nailed it.
Elfu hamsini pesa halali kwa malipo ya mTanzaniaShilingi ngapi room
Huwezi kumpangia mtu ratiba ya kufanya mambo yakeNyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.
Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Usafii ni nidhamuSio mbaya kwa kuanzia wakuu
Ni kweli huwezi lakini kiubinadam haipo sawa dadangu we wiki nzima upo job saa1asb-1uck kweli unashindwa kufanya wema kidogo tu maana kazi hawana uwa kuna mida narud home nakuta wanapiga tu stor vibarazanHuwezi kumpangia mtu ratiba ya kufanya mambo yake
Unalipa miezi mingapiElfu hamsini pesa halali kwa malipo ya mTanzania
Mambo yakikaa fresh chukua meza za kuwekea jiko la gesiSio mbaya kwa kuanzia wakuu