Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wanawake hususani unaofanya nao kazi usipokua makini kila siku utatoboka kununua lunch
Utasikia yani wewe mbahili hata kutununulia lunch jaman...wanataka daily uwe unatoboka
Tuendelee kukumbushana wadau
Geto sio la milele
Hivyo tutafute vibunda
Tu enjoy kidogo kwa muda
Tuongeze thamani ya maisha yetu
Tutoe sadaka/tuwasaidie wengine
Na mwisho kabisa TUFANYE KUWEKA AKIBA
ili
Tule batata baadae mojakwamoja
Maisha yetu yawe na thamani ya wakati wote
Tuwasaidie wengine kikamilifu
Na mwisho kabisa tuwe na nyumba/biashara zetu + ndiga ya ndoto zetu

Kumbuka——mafanikio ya kweli na ya raha ni yale uliyoyashuhudia jasho lake
Ipe thamani kila pesa yako hata iwe 100

Make sure kuna watu wanakuita MBAHILI KAMA NINI![emoji854]
 
Wanawake hususani unaofanya nao kazi usipokua makini kila siku utatoboka kununua lunch
Utasikia yani wewe mbahili hata kutununulia lunch jaman...wanataka daily uwe unatoboka

Kavu kavu tu...hakuna kucheka na mtu
 
Tuendelee kukumbushana wadau
Geto sio la milele
Hivyo tutafute vibunda
Tu enjoy kidogo kwa muda
Tuongeze thamani ya maisha yetu
Tutoe sadaka/tuwasaidie wengine
Na mwisho kabisa TUFANYE KUWEKA AKIBA
ili
Tule batata baadae mojakwamoja
Maisha yetu yawe na thamani ya wakati wote
Tuwasaidie wengine kikamilifu
Na mwisho kabisa tuwe na nyumba/biashara zetu + ndiga ya ndoto zetu

Kumbuka——mafanikio ya kweli na ya raha ni yale uliyoyashuhudia jasho lake
Ipe thamani kila pesa yako hata iwe 100

Make sure kuna watu wanakuita MBAHILI KAMA NINI![emoji854]
Kelphin you nailed it.
 
Sio mbaya kwa kuanzia wakuu
 
Attachments

  • DSC_0117~3.JPG
    DSC_0117~3.JPG
    1 MB · Views: 88
Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.

Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Huwezi kumpangia mtu ratiba ya kufanya mambo yake
 
Huwezi kumpangia mtu ratiba ya kufanya mambo yake
Ni kweli huwezi lakini kiubinadam haipo sawa dadangu we wiki nzima upo job saa1asb-1uck kweli unashindwa kufanya wema kidogo tu maana kazi hawana uwa kuna mida narud home nakuta wanapiga tu stor vibarazan
 
Back
Top Bottom