Kuna biashara moja hivi tulijaribu miezi ya mwanzoni hivi, tulitengeneza Faida ya 1mil+ ndani ya wiki tatu hivi, ila nisikufiche tulitumia ujuzi wa Ulimwengu wa roho, baadaye tukaona tutumie tu akili zetu na uzoefu maana wateja si tayari wapo, alooo.......walipungua na kuzidi kupungua, hapa tumeamua kutulia tu, tunalisoma soko halafu turudi tena kwenye ulimwengu wa roho.Ukipata nafasi hebu tupe hayo madini mkuu manake sasa hali imeshakua mbaya. Watu kila tukijaribu tunafumuliwa mi mbata unatoka unaona nyotanyota
AseeMpaka sasa naishi kwetu sijawahi fanya biashara yeyote so nasoma comments siku nikitoka hapa home nijue nafanyaje.
Je business hiyo ulikuwa unafanya peke yako?Nakumbuka kuna center moja nilikamata sehemu. Kila mtu ananiambia daah hapa mwanangu umeula kwa eneo hili utapiga business mpaka uchoke. Weee..! 😀 Mbata! Mbata! Kofi! Teke! Mtamaa..! Kichwa chini miguu juu hata miezi 6 haikuisha dadek😄
Pole kaka. Hata mimi mgahawa ulinipa za chembe nikakimbia usiku usiku na majiko yangu ya mkaa.Nilifunguaga mgahawa ulikua safi sana mwanzoni mara yakaanza mauzauza dah sitakuja kusahau msosi uliopikwa asubuhi kuchacha mchana. Nilichoma hapo 1.05M 2021 na Maabara 4.8 M 2020 .u
Tatizo hilo. Yaani biashara inahitaji nidhamu.Nilikua nashirikiana na jamaa ila nayeye alikua tia maji tia maji ndio shida ilipozidi kua kubwa.
Acha tu mkuu. Mimi huwa nawaangalia watu wanaosema hii hela kuliko ufanyie kitu fulani bora uweke kwenye biashara chap uzungushe ukipata faida ndio ufanye. Nasema hiiii...😀Tatizo hilo. Yaani biashara inahitaji nidhamu.
Ukiwa legelege hutoboi.
Biashara ya kwenye maandishi.Acha tu mkuu. Mimi hua nawaangalia watu wanaosema hii hela kuliko ufanyie kitu fulani bora uweke kwenye biashara chap uzungushe ukipata faida ndio ufanye. Nasema hiiii...😀
Hayo ndo maneno unayopewa ukianza biashara[emoji3]Nakumbuka kuna center moja nilikamata sehemu. Kila mtu ananiambia daah hapa mwanangu umeula kwa eneo hili utapiga business mpaka uchoke. Weee..! [emoji3] Mbata! Mbata! Kofi! Teke! Mtamaa..! Kichwa chini miguu juu hata miezi 6 haikuisha dadek[emoji1]
Ulimwengu wa roho sio kushirikisha nguvu za Giza wewe, hata Mungu yuko kwenye ulimwengu wa roho.Business inahitaji nidhamu pamoja na commitment ya kutosha.. ukiachana na hayo Kuna watu Wana vichwa vya biashara.Yani hata auze pipi automatically anatoboa tu.. wew mwenzangu na Mimi unaweka mamilioni unaambulia matupu.
Vipo vingi vya kufanya na unaweza kutoboa kimya kmya bila hata kushirikisha nguvu ya Giza. Muhimu cheza na location, misimu, aina ya watu wanaokuzunguka, angalia nn ukifanya unakuwa free zaidi halafu jikite kwanza hapo hatua nyingine itafata mumo kwa mumo
Sema vingine uko sahihi.Business inahitaji nidhamu pamoja na commitment ya kutosha.. ukiachana na hayo Kuna watu Wana vichwa vya biashara.Yani hata auze pipi automatically anatoboa tu.. wew mwenzangu na Mimi unaweka mamilioni unaambulia matupu.
Vipo vingi vya kufanya na unaweza kutoboa kimya kmya bila hata kushirikisha nguvu ya Giza. Muhimu cheza na location, misimu, aina ya watu wanaokuzunguka, angalia nn ukifanya unakuwa free zaidi halafu jikite kwanza hapo hatua nyingine itafata mumo kwa mumo
Kariakoo paache tu, ukiwauliza wanakwambia nidhamu & kujitumaUlimwengu wa roho kuna sehemu mbili, kwa Shetani au kwa Mungu.
Wote wana kanuni zao kwenye biashara unayotaka kufanya, ili watoe urahisi wa kufanikiwa. Usione pale mfano wale wa Dar Kkoo watu wanapiga business, asilimia kubwa wamejiungamanisha kwenye ulimwengu wa roho, nimewahi sikia kwa Mhindi mmoja ana mgahawa maarufu sana, huwa anatamka maneno fulani kabla ya kufanya chochote asubuhi. Na anauza balaa, Wala hakukaa sijui miaka miwili.
Watu wana mbinu mkuu, na hawatazisema labda uwe na ukaribu nao sana.
Uko sahihi ila 90% ya wafanyabiashara hawawezi kuvumilia kwenye Imani ya Mungu.. ndo mana wengi wapo upande wa pili chap chap mambo yamenyookaUlimwengu wa roho sio kushirikisha nguvu za Giza wewe, hata Mungu yuko kwenye ulimwengu wa roho.
Bro kuna siri sana kwenye biashara pale, wanakwepa Kodi wale balaa plus na wengine wanatumia ulimwengu wa roho.Kariakoo paache tu, ukiwauliza wanakwambia nidhamu & kujituma
Kabisa.Kila biashara iliyosimama Kuna jambo flan la Siri hua linafanyika ila hawawezi kwambia
Sema njia za Mungu zinahitaji uvumilivu sana na pia uishi maisha matakatifu sana, usikwepe kodi na utoe zaka.Uko sahihi ila 90% ya wafanyabiashara hawawezi kuvumilia kwenye Imani ya Mungu.. ndo mana wengi wapo upande wa pili chap chap mambo yamenyooka
Unahoja usikilizweHapo kwenye kuvumilia miaka miwili ni pagumu mkuu hasa kama biashara haiingizi hela sasa hiyo miaka miwili unakua unaiendesha vipi, utalipaje gharama nk.