Hata mie kilimo sina bahati nacho nina mamia ya hekari iringa.......nikaona afadhali miti.....moto ukaja ukaila.....lakini kwa mjini nilianzia genge.....Leo alhamdulilah....angalau .......Kilimo kilishanitoa knock out miaka mingi sana.. na hasara kubwa. !
Hakuna kiwango cha mwisho.Hivi kiwango cha mwisho cha kumiliki pesa kwa wale ambao hawajajiunganisha upande wa pili ni kiasi gani?
Mambo yenu wakinga hayo [emoji2]
Bottom line nyie mlipitia njia gani?
acha kbs mkuuPole kiongozi. Watu ambao hawajawahi kufanya biashara ukiwaambia 6m inateketea na hupati hata mia hawaamini!
Mimi sikubishii mkuu, najua biashara zina mambo mengi ndio maana nataka tushauriane hapa ili angalau hata kama hatutatoboa, basi tusaidie wengine wasiendelee kuchoma mitaji bure..
Walikuwa hawakupigi shoti kweli?Mkuu hatukimbii kwa kupenda, unalazimika kutoka nduki! We imagine mimi kuna wakati nilikua na mgahawa, asubuhi mnanunua kila kitu kwa 200,000 ikifika jioni kufunga mahesabu unakuta kila kitu kimeisha na mmepata 150,000. Hapo una vijana kama wanne wanasubiria ujira na kesho kunatakiwa hela ya sokoni kufuata mahitaji! Kwanini usivizie watu wakiondoka unakunja majiko yako unatia mfukoni na kutoka nduki kali...???😄😄
Biashara bila ubahili hutoboi kama unaanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sisi sio wachawi ni wachapakazi kweri kwerii, tunakula mlo maji tu!
Ugali na sungwe hatuijui breakfast wala lunch
Naelewa hiyo situation. Mimi mwenyewe mkimbiaji mzuri wa biashara ila ili usikimbie biashara inabidi ujue sana mchezo wake ulivyo kabla hujaingia, usubiri kupata real experience uko.Mkuu hatukimbii kwa kupenda, unalazimika kutoka nduki! We imagine mimi kuna wakati nilikua na mgahawa, asubuhi mnanunua kila kitu kwa 200,000 ikifika jioni kufunga mahesabu unakuta kila kitu kimeisha na mmepata 150,000. Hapo una vijana kama wanne wanasubiria ujira na kesho kunatakiwa hela ya sokoni kufuata mahitaji! Kwanini usivizie watu wakiondoka unakunja majiko yako unatia mfukoni na kutoka nduki kali...???😄😄
Biashara bila ubahili hutoboi kama unaanza.
Aisee tulijifunza in a hard way. Yaani umepata faida eti unataka ule party, uende club au bar, ukahonge alafu biashara changa, yaani hapo hata Mungu aliyekusaidia anakuweka pembeni unless kama mtu yuko upande wa pili.Waambie hao wanafikiri biashara inataka ubishoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyoishi kipindi cha mvua ndio wakinga siku zote tunaishi hivyo
Sasa ndio hukutakiwa urukie biashara nyingineSema baadae nilikuja kutulia nikagundua kuna makosa ya kiufundi nilifanya. Tatizo unakuja kugundua hayo wakati umeshachoma mtaji na huna hela tena so inakua haisaidii sana..
Andika business plan , alafu kopa.Sema baadae nilikuja kutulia nikagundua kuna makosa ya kiufundi nilifanya. Tatizo unakuja kugundua hayo wakati umeshachoma mtaji na huna hela tena so inakua haisaidii sana..
Aisee tulijifunza in a hard way. Yaani umepata faida eti unataka ule party, uende club au bar, ukahonge alafu biashara changa, yaani hapo hata Mungu aliyekusaidia anakuweka pembeni unless kama mtu yuko upande wa pili.
Hivi hizi ni ukweli au kutishana tuu???Wasikudanganye, Biashara bila kujiungamanisha na upande wowote wa Ulimwengu wa Roho, kutoboa ni ngumu sana, kila mtu ana mbinu za siri za kujiungamanisha na ulimwengu wa roho.
Umeanza vizuri hapo mwisho ndio umeharibu 😀Bro naona wengi wameshauri mambo mazuri tu kama location, juhudi, kufanya utafiti wa biashara unayotaka kufanya, na pia nidhamu ya pesa, inabidi uwe mbahili, narudia tena mbahili kama unaanza.
Kubusu ulimwengu wa roho the choice is yours ila upande wa Mungu, inahitaji usali sana na utoe asilimia kumi za mtaji alafu ukisali kwa Imani then ukipata faida utoe tena 10% ya ile kwa Mungu, 90% ya kwako alafu utakuja kuniambia.
Sali Baba yetu wa Mbinguni kwa Mkristo then omba kwa nia njema, ila sasa usifanye uovu, hata demu usimtamani.