Ulichukua hatua gani baada ya kugundua umebambikwa mimba/ mtoto?


Ubwa kabisa huyoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Binafsi nilishtukaga mapema, demu ni pisi alikuwa analazmisha kutaka nimle, nikaanza kushtuka hii kuwa sio kawaida yake. Halmashauri ya kichwa changu ikaniambia usile kavu, baada ya kula mbususu imepta miezi kadhaa wana wa kitaa wananipanga flan ana mimba, nikawaza huyu huyu demu alitaka anibambikizie kwa sababu anazozijua mwenyewe.
 
Dah hi ilimkuta jamaa yangu kabisa[emoji34]

Jamaa aliishi nae vzr kabisa...akijua mimba ni yake kumbe yule mdada alishakua na mimba ya miezi miwili!

Kuna day nlimuagiziaga huyu yangu tv Zanzibar
Yule jamaa wa zenj hua anakawaida ya kukupigia picha mzigo ukiwa kule anaufunga
Hivyo nkawa na zile picha kwangu

Siku napekua pekua nkaangalia zile picha nkahisi kitu kisicho kawaida
Tv ilikuj mwezi wa 12kutoka Zanzibar tar kam 3 hivi
Siku nayopekua zile picha ilikua mwezi wa nane wa mwaka unaofuata ( na ilikua ni wiki 2 nyuma yule shemeji kajifungua)
Hivyo ilikua imeshtimiza mwaka

Yule dada alianza kukaa nae mwezi wa 2 mwaka unaofuata
Hivyo tuseme mwezi wa 2hadi wa 8 ni miezi 7


Nkaona dah hi mbon km haiji kichwani
Ila kwakua n maisha ya watu nkapuuza
By the way mshikaji wangukumbe nae alishtukia tangu anajifungua
Na ulichezwa mchezo mmoja hatari sana kati ya wauguzi na yule dada ili ionekane kama mtoto kazaliwa kabla ya wakati
(Hi ni kwa maelezo yake )
Jamaa hakua okey kazin kiujumla na kwa bahat mbaya jamaa ni mkimya sana...kumbe inamtafuna ndani kwa ndani...alipoona panauma akafumua soo
Akaita ndugu zake kuja kuchek mtoto
Ndugu zake woote wakakataa kua hi sio damu yetu!
Eh vumbi likawaka...kumbana shemeji ndio akasema tu ukweli kua mimba ni ya jamaa mwingine



Mambo kadhaa yalitokea hadi hiyo tv yenyewe ikavunjwa paaah!!!

Ngoj niishie hapa
 
That 1
2 kuna day tulikua somewhere kidogo na jamaa zangu tunapooza mwili na [emoji3047] sehemu moja hivi

Yule muhudumu alikua katembelewa na mdogo wake mdada mweupe hivi

Kwa wanaonifahamu me nna utani utani sana....hivyo nlikua nkimtania yule dada kua nmempenda...na kumsifia kwingiii sana...na jamaa zangu pemben wanakazia wanamuita shem shem kama kweli yan...

Mda uliposogea tukainuka tukasepa kila mtu kwao...


Mida ya saa2 nkaona sms namba ngeni..kumuuliza wew nani ananambiya yuke dada mweupe wa mchana
Kwakua kwangu ilikua utani nkawa nshasahau

Baadae nakuj kukumbuka..nkamjibu tukaendelea na salamu na kadhalika

Kaniuliza upo wap nkamjibu getto...akajibu nakuja
Na nalal hapo hapo
[emoji15][emoji15][emoji15]
Haaah hili embe dodo lakujiokotea tena vipi

Si nkajua utani
Kaniuliza nakaa wap nkamwambia ni maeneo fulani
Akajib pow..nkaendelea kucheza zangu game nkijua n masikhara labda

Nmefika nipo hapa nkajibu wap tena...akataja pale nlipomwambia nkasema hi mbon balaa

Nkafungua mlango kidogo kutoa jicho nakuta kasimam kwenye ukuta wa anabonya bonya simu

Nkazama ndani nkafunga nkaendelea na game



Wiki moja mbele napata habari mkuu wa kituo cha police(ndio alikua anamlea) anamtafuta mwenye mimba

Dem kataja wadau kama 4 hivi
Wengine waliwatafuta aliokua anachart nao[emoji16]


Kwakua ngoma haikua inajulikana ni ya nani ikabid wasubil ajifungue

Mojo kumbe ya yule jamaa yangu bodaboda
Maana dogo alitoka na rangi moja kiwi nyeupe[emoji16][emoji16]
 
Achana nae aliolewa na baba mwenye mtoto
 
Ulibugi kwenda hospital aliyotaka yeye ungefika njiani ukabafilisha mawazo mkaelekea hospital nyingine hawaaminikagi hawa
Mara ya pili nilimshtukiza tu nikampeleka sehemu nyingine ndipo siri ikawa sio Siri tena.
 
baada ya kumpa kipondo kitakatifu.

Ulipiga mjamzito? Huu ukatili mnautoa wapi? Hako ka elfu30 kako ndo kanakupa haki ya kupiga mjamzito? Ungemuacha kwa amani na mimba yake ungepungukiwa nini? Nyie ndo watu mnaoua kabisa kisa tuhela twenu twa mawazo.
 
Unaweza kuta huyo mjuba ndiyo kapewa mwanao Kama shukhurani ya kumuo huyo Binti!!
 
Ulipiga mjamzito? Huu ukatili mnautoa wapi? Hako ka elfu30 kako ndo kanakupa haki ya kupiga mjamzito? Ungemuacha kwa amani na mimba yake ungepungukiwa nini? Nyie ndo watu mnaoua kabisa kisa tuhela twenu twa mawazo.
Kama hizo 30,000 mnaziona ndogo kwanini hampewi na baba zenu wazazi mnawatapeli wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…