Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

Nilikua nipo Vidato kadhaa, kuna kabinti tulikua tunadate, siku moja tukaenda beach, nipo nambambia mwenyewe, mabusu ya hapa na pale...
Hiki KISANGA chako kipo based na kwangu kwa Mdada wa church tulikua na mtindo wa kutega hatuendi mazoezi ya Kwaya tunatafuta mahali tunaenda kunyanduana mpka mida ya kutoka wanakwaya wenzetu.
 
[emoji1787]Nilipata matokeo mabovu O-level ila Bi. Mkubwa akawa anani-promote mbele ya familia ambayo ilifura kwa hasira, kiasi kwamba ile Division Mbovu niliyopata waamini ni Division 1 (one) iliyoopoza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee me bimkubwa hajawahi nitetea, yeye alikua ni mama fulani hv wa principal sana, ukizingua tu unakula kichapo aisee... Yaan unaweza kula kichapo hata kwa kuonekana unazurura na watoto watukutu kitaa...

Asilimia kubwa ya watoto wanaotetewa na wazazi wao wakiwa wamefanya makosa ndo hua wanaharibikiwa wakikua..!!
😂😂😂😂🙌🙌🙌. Anakunyoosha yaani.
 
[emoji1787]Nilipata matokeo mabovu O-level ila Bi.mkubwa akawa anani-promote mbele ya familia ambayo ilifura kwa hasira kiasi kwamba ile Division Mbovu niliopata waamini ni Division 1 (one) iliyoopoza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂🙌🙌🙌 Ulikua mdgo....
 
Ee Mungu nawaombea wote ambao hawana mama, walitamani kuwa na mama mtetezi kwa kila jambo ila hakuna wa kupinga maamuzi yako.

Hivyo basi kwa ajili ya uzi kuhusu utetezi wa mama basi nakuomba uwape wake/waume wema ili wawatetee pale wanapostahili utetezi na faraja.

Asante Mungu kwa ajili ya mama yangu ingawa ni mkali kiasi ila mlezi mzuri sana hatetei ujinga😆
 
Mkuu, yaan unanyooshwa hadi unajiuliza "Huyu ni mama angu kweli au aliniokota?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea Mkuu

Sisi wengine tangu tupo utotoni maisha yalikuwa yanatunyoosha yaani makuzi yetu ni uswazi mlo mmoja, sikukuu hatuijui hata.

Kwa Hali hio Bi.mkubwa nguvu ya kukunyoosha anatoa wapi ? Sana sana huenda analia kila akiwa peke ake juu ya Hali ya familia yake na mkikutana tagi ubavu full kutetewa ujinga[emoji16]. Shida (dhiki) tu nd zilizotufanya tufike hata hapa padogo tulipo na sio malezi pekee .
 
Ee Mungu nawaombea wote ambao hawana mama, walitamani kuwa na mama mtetezi kwa kila jambo ila hakuna wa kupinga maamuzi yako.

Hivyo basi kwa ajili ya uzi kuhusu utetezi wa mama basi nakuomba uwape wake/waume wema ili wawatetee pale wanapostahili utetezi na faraja.

Asante Mungu kwa ajili ya mama yangu ingawa ni mkali kiasi ila mlezi mzuri sana hatetei ujinga😆
We pia uliwahi tetewa...?
 
Back
Top Bottom