Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ulikua mdgo....
Hamna sikuwa mdogo kiivo na muda huo Nina wadogo zangu wawili, ila nd vile familia ilinizonga kiasi kwamba Bi.mkubwa ilibidi abalance mzani ubao usome 1-1 vinginevo ningekula nilipopeleka mboga siku hio.[emoji1732]
 
😂😂😂😂😂 Hapo kwa ** ubao usome 1-1**
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unatetea afu badae unamalizana nae personal bhana

Wew mimi siwezi mbona watu wanaogopaga kuniita nikawatetee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja alikorofisha uko kazini et oh kanitete kivile yule anakupenda af niny ni marafiki nikamwambia uho ni ujinga wako tena nakazia msumali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh [emoji15].. shangazi alishindwa kutoa sapport nini ..? [emoji23]

Tulikua tunakaa na bro na shangazi alikuja kuishi home kusaidia kazi halafu bro aliniambia ameshamla shangazi nikasema na mimi ngoja nijaribu kula tunda la shangazi dooh akaenda kunisemea [emoji23]
 
Wew mimi siwezi mbona watu wanaogopaga kuniita nikawatetee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja alikorofisha uko kazini et oh kanitete kivile yule anakupenda af niny ni marafiki nikamwambia uho ni ujinga wako tena nakazia msumali [emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaa we 😳😳😳 wee hapana wewe unaweza umbua watu hivi hivi... Ata kukonyezwa huwezi kbisa duuuh..

Kuna mda inabidi utetee tuu ili kuficha aibu ya mtu
 
Tulikua tunakaa na bro na shangazi alikuja kuishi home kusaidia kazi halafu bro aliniambia ameshamla shangazi nikasema na mimi ngoja nijaribu dooh akaenda kunisemea [emoji23]
Jinga sana wewe 😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah
Mwenzako alikudanganya nini...?
 
Ebuu dadavua kidogo inaonesha hiki kisa ni kizuri😂😂😂😂
Mama na baba walikuwa wameshastaafu wakamwambia sista awafungulie kitu wakaona ni biashara ya kuku basi wakaanza na kuku kadhaa na biashara ilikuwa poa Sasa Kwa sababu graduation yangu hawakunipa zawadi nikaona nikifika home ni kauze mayai trei mbili ninunue angalau kitu changu mwenyewe.

Nikaenda bandani nikakusanya mayai trei mbili nikauza kumbe baba alileta mteja naashatumia hela .

Weh akakuta trei hizo hakuna kuuliza nikajibu nyodo Mzee alikasirika akaenda kata fimbo nikaanza kukimbia wahi napiga kelele . Kweli ndio akaja akamwambia mwache nitaenda mwenyewe kuleta Kwa mtu mteja achukue hizo wasichana wangu hawapigwagi nikaoka ila best yangu kipenzi changu my Dady alininunia mwezi mzima
 
Nakumbuka kauli moja tu ya bi🙂mkubwa "acheni aende jera". Nilikuwa nimezingua parefu kidato cha pili huko.
Bibi yangu Mungu ampe maisha marefu akanipigania mjukuu wake mpendwa na de facto mtoto wake pekee wa kiume.
And baada ya hapo sikumwangusha tena. By the way at mid 30 yrs i have a daughter kidato cha nne. Nilikuwa mtundu🤣🤣🤣🤣🤣
 
We pia uliwahi tetewa...?
Sana tu mpaka sikumbuki ni mara ngapi.

Ila ninayo kumbuka nikiwa chekechea nikashindwa maswali ma tano baba akaniita akanipa maswali mengine ya hesabu baadhi nikashindwa aiseee baba alinipigaaa akamwambia mama huyu akifikisha miaka 7 anatakiwa kwenda nairobi kusoma kwa hiyo hakuna cha kumuonea huruma lazima apatie hayo maswali.

Na mama haruhusiwi kunisaidia hata swali moja. Kwenye maswali yake tofauti na yale ya shule nikashindwa mawili weeee alinitoa nje akanifunga mkono kwenye mgomba akasema wasinipe chakula, mama alilia akilalamika mimi ni mdogo🤣 wakaingia ndani kula hapo ni kama saa mbili usiku mama akaiba chakula akanilete weee hiyo vita ilikuwa kali.
Baadae kama saa 4 baba akaja akaniambia ili nitoke pale nimwambie table ya kwanza hadi ya tatu hiyo nilikuwa naiimba kila siku nikaisoma ndo nikatoka.

Aliponitoa akaniambia wewe ni mtoto wangu wa kwanza mimi sikusoma sana nataka usome tena ukifika miaka 7 ukajua kujiogesha utasoma nairobi sawa mwanangu? Ninakupenda sana lazima uwe na akili.
 
Khaaaa we [emoji15][emoji15][emoji15] wee hapana wewe unaweza umbua watu hivi hivi... Ata kukonyezwa huwezi kbisa duuuh..

Kuna mda inabidi utetee tuu ili kuficha aibu ya mtu

Najitahid lakini wapi nilijitaidi kumtetea mtu mzima chuoni kipindi nipo CR alipata disco lakini wakati na mtetea nikalopoka lakini amezidi umbea wenzie wanasoma yeye yupo bise kusaka umbea [emoji23][emoji23][emoji23] dah mpka yule mama aliona aibu af nimekaza jicho
 
Sana tu mpaka sikumbuki ni mara ngapi.

Ila ninayo kumbuka nikiwa chekechea nikashindwa maswali ma tano baba akaniita akanipa maswali mengine ya hesabu baadhi nikashindwa aiseee baba alinipigaaa akamwambia mama huyu akifikisha miaka 7 anatakiwa kwenda nairobi kusoma kwa hiyo hakuna cha kumuonea huruma lazima apatie hayo maswali.

Na mama haruhusiwi kunisaidia hata swali moja. Kwenye maswali yake tofauti na yale ya shule nikashindwa mawili weeee alinitoa nje akanifunga mkono kwenye mgomba akasema wasinipe chakula, mama alilia akilalamika mimi ni mdogo🤣 wakaingia ndani kula hapo ni kama saa mbili usiku mama akaiba chakula akanilete weee hiyo vita ilikuwa kali.
Baadae kama saa 4 baba akaja akaniambia ili nitoke pale nimwambie table ya kwanza hadi ya tatu hiyo nilikuwa naiimba kila siku nikaisoma ndo nikatoka.

Aliponitoa akaniambia wewe ni mtoto wangu wa kwanza mimi sikusoma sana nataka usome tena ukifika miaka 7 ukajua kujiogesha utasoma nairobi sawa mwanangu? Ninakupenda sana lazima uwe na akili.
Baba alikua mwanajeshi bila shaka... Hilo usikatae😂😂😂🙌🙌🙌
 
Nakumbuka kauli moja tu ya bi🙂mkubwa "acheni aende jera". Nilikuwa nimezingua parefu kidato cha pili huko.
Bibi yangu Mungu ampe maisha marefu akanipigania mjukuu wake mpendwa na de facto mtoto wake pekee wa kiume.
And baada ya hapo sikumwangusha tena. By the way at mid 30 yrs i have a daughter kidato cha nne. Nilikuwa mtundu🤣🤣🤣🤣🤣
Ukome sasa.... 🤣🤣🤣🤣🤣 ""Acheni aende tuu""
 
Back
Top Bottom