Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Niliuza mayai trei mbili, halafu Baba alikuwa ameyatafutia mteja
Mbaya zaidi nikala hela, nusu Mzee animalize
Mbaya zaidi nikala hela, nusu Mzee animalize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna sikuwa mdogo kiivo na muda huo Nina wadogo zangu wawili, ila nd vile familia ilinizonga kiasi kwamba Bi.mkubwa ilibidi abalance mzani ubao usome 1-1 vinginevo ningekula nilipopeleka mboga siku hio.[emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ulikua mdgo....
Duuuh 😳.. shangazi alishindwa kutoa sapport nini ..? 😂Nilikua ndo naanza kubalehe afu shangazi amelala kihasara hasara nikataka nijaribu kula tunda kimasihara [emoji28][emoji28]
😂😂😂😂😂 Unatetea afu badae unamalizana nae personal bhana[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kumtetea mtu naweza ila sitetei ujinga ase bora unione snich lakini siwezi tetea ujinga
Ebuu dadavua kidogo inaonesha hiki kisa ni kizuri😂😂😂😂Niliuza mayai trei mbili
😂😂😂😂😂 Hapo kwa ** ubao usome 1-1**Hamna sikuwa mdogo kiivo na muda huo Nina wadogo zangu wawili, ila nd vile familia ilinizonga kiasi kwamba Bi.mkubwa ilibidi abalance mzani ubao usome 1-1 vinginevo ningekula nilipopeleka mboga siku hio.[emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unatetea afu badae unamalizana nae personal bhana
Duuuh [emoji15].. shangazi alishindwa kutoa sapport nini ..? [emoji23]
Khaaaa we 😳😳😳 wee hapana wewe unaweza umbua watu hivi hivi... Ata kukonyezwa huwezi kbisa duuuh..Wew mimi siwezi mbona watu wanaogopaga kuniita nikawatetee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja alikorofisha uko kazini et oh kanitete kivile yule anakupenda af niny ni marafiki nikamwambia uho ni ujinga wako tena nakazia msumali [emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga sana wewe 😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daahTulikua tunakaa na bro na shangazi alikuja kuishi home kusaidia kazi halafu bro aliniambia ameshamla shangazi nikasema na mimi ngoja nijaribu dooh akaenda kunisemea [emoji23]
Mama na baba walikuwa wameshastaafu wakamwambia sista awafungulie kitu wakaona ni biashara ya kuku basi wakaanza na kuku kadhaa na biashara ilikuwa poa Sasa Kwa sababu graduation yangu hawakunipa zawadi nikaona nikifika home ni kauze mayai trei mbili ninunue angalau kitu changu mwenyewe.Ebuu dadavua kidogo inaonesha hiki kisa ni kizuri😂😂😂😂
Yaani alikuwa akikasirika majirani wajipange kuniteteaAhahahahah si ulijikuta Adolph hitler jr
Yaaan wenzako tunatetewa na mama.. mda huo wewe majirani wajipange kukutetea 😂😂😂😂 alikua anakiwasha et..Yaani alikuwa akikasirika majirani wajipange kunitetea
Sana tu mpaka sikumbuki ni mara ngapi.We pia uliwahi tetewa...?
Khaaaa we [emoji15][emoji15][emoji15] wee hapana wewe unaweza umbua watu hivi hivi... Ata kukonyezwa huwezi kbisa duuuh..
Kuna mda inabidi utetee tuu ili kuficha aibu ya mtu
Hahah mwaisa wamama wakinyaki hawataki utani unaweza kula chai akakuongezea chai[emoji38][emoji38]Mama yangu ni mnyakyusa, Dingi ndio aliekuwa ananitetea
Alikuona mdgo wewe 😂😂😂😂Tulikua tunakaa na bro na shangazi alikuja kuishi home kusaidia kazi halafu bro aliniambia ameshamla shangazi nikasema na mimi ngoja nijaribu kula tunda la shangazi dooh akaenda kunisemea [emoji23]
Baba alikua mwanajeshi bila shaka... Hilo usikatae😂😂😂🙌🙌🙌Sana tu mpaka sikumbuki ni mara ngapi.
Ila ninayo kumbuka nikiwa chekechea nikashindwa maswali ma tano baba akaniita akanipa maswali mengine ya hesabu baadhi nikashindwa aiseee baba alinipigaaa akamwambia mama huyu akifikisha miaka 7 anatakiwa kwenda nairobi kusoma kwa hiyo hakuna cha kumuonea huruma lazima apatie hayo maswali.
Na mama haruhusiwi kunisaidia hata swali moja. Kwenye maswali yake tofauti na yale ya shule nikashindwa mawili weeee alinitoa nje akanifunga mkono kwenye mgomba akasema wasinipe chakula, mama alilia akilalamika mimi ni mdogo🤣 wakaingia ndani kula hapo ni kama saa mbili usiku mama akaiba chakula akanilete weee hiyo vita ilikuwa kali.
Baadae kama saa 4 baba akaja akaniambia ili nitoke pale nimwambie table ya kwanza hadi ya tatu hiyo nilikuwa naiimba kila siku nikaisoma ndo nikatoka.
Aliponitoa akaniambia wewe ni mtoto wangu wa kwanza mimi sikusoma sana nataka usome tena ukifika miaka 7 ukajua kujiogesha utasoma nairobi sawa mwanangu? Ninakupenda sana lazima uwe na akili.
Ukome sasa.... 🤣🤣🤣🤣🤣 ""Acheni aende tuu""Nakumbuka kauli moja tu ya bi🙂mkubwa "acheni aende jera". Nilikuwa nimezingua parefu kidato cha pili huko.
Bibi yangu Mungu ampe maisha marefu akanipigania mjukuu wake mpendwa na de facto mtoto wake pekee wa kiume.
And baada ya hapo sikumwangusha tena. By the way at mid 30 yrs i have a daughter kidato cha nne. Nilikuwa mtundu🤣🤣🤣🤣🤣