Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

Enzi hizo nipo chuo ..nilienda home weekend na Baba hua ana kawaida ya kunipa pesa nikifika tu home hata iwe usiku ataniamsha..Basi bana siku moja kaniachia zake pesa kaenda job Kuna kipindi hua kazini kwao wanaenda katikati ya bahari huko Basi atakaa hata week..Sasa namimi si nilijua mshua harudi Hadi week ipite bana..nikavuta sikwenda hostel jpili coz j3 nilikua na miadi na shemeji yenu😊.
J3 bimkubwa kaenda zake kibaruani mida imefika nikaonane na shemeji yenu mara moja Kuna pesa aliniletea na alinihamu kuniona..ni kituo kinachofuata baada ya home nikafunga zangu milango Mimi huyooo..ile nafika tu eneo la tukio naingia tu geti la ile bar nakutana na Baba macho kwa macho..πŸ˜‚πŸ˜‚imagine anajua nishasepa hostel🀣🀣.
Nikasema sirudi nyuma nikamsogelea salamu..akaniuliza vipi hapa ndipo hostel!!?..nilibaki naunyaunya na mbaya zaidi mwamba nae alikaa kwenye Kona ambayo nikipiga jicho naonana nae..lilivyozoba linanipa ishara nipo hapa njoo😣..aisee..najaribu kumkazia macho lakini wapi..si akanyanyuka ilibidi niwasiliane na kwa kichwa atoke pale aende nje..Baba anajifanya anaangalia simu yake Kama haoni..akaniruhusu nisepe.

Jioni Sasa huyu hapa karudi..maswali yakaanza nabaki tu kutumbua macho..Mama anasema nimemuacha nyumbani huyu alitoka muda gani..unamsingizia mtoto..baada ya kuona mabishano mengi kidogo niropoke ..Mama akamuwahi Baba .."nimekumbuka nilimtuma aende akachukue pesa kwa mteja wangu..wewe nawe kwanini hukuniambia Kama ulienda"..hapo Mama kanikazia jicho..hapo ndipo nilipata ahueni na kulala nikaenda hata kula sikula.. nikikumbuka ile siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sehemu ya kukutania ndo ilikua shida.... Mama alijua kukutetea πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sehemu ya kukutania ndo ilikua shida.... Mama alijua kukutetea πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwakweli
Alinitetea mpaka nikashangaa..Mama angu hakua mtu wa sport sport..hakupenda ujinga mpaka tukampa jina la mjeda mstaafu lakini ile sikuπŸ˜‚πŸ˜‚..nilimuaminia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwakweli
Alinitetea mpaka nikashangaa..Mama angu hakua mtu wa sport sport..hakupenda ujinga mpaka tukampa jina la mjeda mstaafu lakini ile sikuπŸ˜‚πŸ˜‚..nilimuaminia
Dady alimuona kijana aliyekuita eneo la tukio maana kesi mbona ilimalizwa chap hivo
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Bora kesi uwe unaimalizia huko huko before ijafika kwa bi mkubwa au
Kuna wale washakunaku unakuta washawahi home kabla mimi sijatokeza πŸ˜‚ nimepigwa sana aisee
 
Abahahahah.. na mama alikua hana baya na wao anakunyoosha ipasavyo [emoji23][emoji23]
Bi mkubwa wangu kanibonda sana ila namshukuru sababu angeniacha ningeharibikiwa mapema maana nilikua chafujo mno.
 
Uwongo
 
Dingi yangu ukizingua unakula ngumi mateke,mikato flan ya Bruce Lee,Maza ukizingua anakubonda Kama mke mke mwenzie,ukitoka nduki anakuungia tela aisee...muda wa kipigo hakuna wa kukutetea yaani
🀣 Khee! hatari.
 
Bi mkubwa wangu kanibonda sana ila namshukuru sababu angeniacha ningeharibikiwa mapema maana nilikua chafujo mno.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ahahahahahah daah hakutaka kudekeza mtu....
 
Mama yangu hajawahi kunitetea hata dakika Moja
Yeye ndo kwanza alikua ananipiga mboko za kutosha.. nabeba vichechi pale Mezani... kuchelewa kurudi toka shuleni ...
Nikitumwa nachelewa kurudi zile timings anazo nipa michezo mingi sana ..
Ni fimbo tu na mazoezi magumu...
Hallo bila yeye kunikazia Leo nisingekua hapa kama Smart Gang ningekua Mdudu mtu ...
Leo naona madogo wanazingua kisa kazeeka yule Hana tena yale makali yake akiwa na umri wa makamo ...
Lakini nampenda kwani kantengeneza kuja kuwa kiongozi mzuri Leo hii..
Nidhamu ndo kila kitu kila mahali.
 
I feel so bad about this
 
Wewe hufai πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…