PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Malizia mkuu umeishia patamuAisee nakumbuka nikiwa Form 2 nililizuwa balaa sitolisahau πππ
Kuna Mwamba alikuwa form 3 alikuwa mbeba vyuma na alikuwa na vurugu sana pale shuleni alikuwa amepewa suspension. Sasa maisha ya kigheto gheto kulikuwa na zile tabia za kupekuwa pekuwa ma trunker. Mimi na Washikaji zangu Tango na Cash tukapekuwa trunker la jamaa fulani la jamaa alikuwa mpiga picha tukakuta picha ya huyo jamaa alikuwa ametunisha kifua. Tukaichukua ile picha tukaiandika matusi ya kumtisha Mwalimu aliyempa suspension yule jamaa.
Alafu tukampa dogo wa shule ya msingi na shiling 20. Tukamwambia ipeleke pale shuleni ( Shule yetu tuliyokuwa tunasoma)
Mimi ndio nilikuwa muandishi wa yale maneno na Washikaji zangu (Tango na Cash ) ndio walikuwa wananitajia maneno ya kuandika π€£π€£π€£
Dogo akaipeleka pale shuleni kwetu ikapokelewa na Mwalimu fulani akaihifadhi. Sasa jumatatu ilipofika yule Mwalimu aliyeipokea ile barua akampa yule Mwalimu aliyempa suspension.
ITAENDELEA