Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

Aisee nakumbuka nikiwa Form 2 nililizuwa balaa sitolisahau ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kuna Mwamba alikuwa form 3 alikuwa mbeba vyuma na alikuwa na vurugu sana pale shuleni alikuwa amepewa suspension. Sasa maisha ya kigheto gheto kulikuwa na zile tabia za kupekuwa pekuwa ma trunker. Mimi na Washikaji zangu Tango na Cash tukapekuwa trunker la jamaa fulani la jamaa alikuwa mpiga picha tukakuta picha ya huyo jamaa alikuwa ametunisha kifua. Tukaichukua ile picha tukaiandika matusi ya kumtisha Mwalimu aliyempa suspension yule jamaa.

Alafu tukampa dogo wa shule ya msingi na shiling 20. Tukamwambia ipeleke pale shuleni ( Shule yetu tuliyokuwa tunasoma)
Mimi ndio nilikuwa muandishi wa yale maneno na Washikaji zangu (Tango na Cash ) ndio walikuwa wananitajia maneno ya kuandika ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Dogo akaipeleka pale shuleni kwetu ikapokelewa na Mwalimu fulani akaihifadhi. Sasa jumatatu ilipofika yule Mwalimu aliyeipokea ile barua akampa yule Mwalimu aliyempa suspension.

ITAENDELEA
Malizia mkuu umeishia patamu
 
Nilimchomolea rafiki yangu hela kwenye shati kiutani ilikuwa mapumziko mlangoni mwa darasa ili nimrudishie baadaye,kumbe jamaa kaenda kwa ticha.Tukaitwa darasa letu turudi darasani hapo mimi sijagundua tulichoitiwa na pesa ipo mfuko wa shati, Mara namuona ticha ana bakora na Semeni(rafiki yangu)yupo pembeni hapo nikajua nishayakanyaga basi ticha huku ana rundo la stick akasema aliyechukua pesa ya semeni arudishe kabla sijawasachi wote na bakora zisipopatikana,nikasema sizotoi maana zile bakora zitaniishia,ulipita msako huku natetemeka nikazitoa kwenye shati nikazishika mkononi ile ananisachi mfukoni(monitor)mi nimezishika mkononi mikono juu akasema lete begi hapo ndipo nikafanikiwa kuzirudisha mfukoni.Kilichofuata ni kupigwa fimbo 5 kila mmoja.Nilijisikia vibaya sana wenzangu wakipigwa huku wakilalamika kuonewa.Niliendq nae (kwa saa nane) nikamnunulia mihogo.Baada ya siku 2 nikamrudishia hela akashangaa sana nikamwambia alikurupuka kwenda kwa mwalimu,siri tukabaki nayo hadi tulipomaliza shule kama yupo mhanga wa hili tukio samahani sana.Semeni Jarton Mwakyembe uko wapi mkuu?
Itoshe tu kukuambia sisi ni pipo.
 
Kwa sisi wa mbeya ubaridini nakumbuka kuna bro anaitwa hamfrey mchaga uyo jamaa

Yeye alikuwa form 4 mimi nilikuwa form 2 lakini ni kama alikuwa ananikubali sana

Bro alikuwa anauza pombe za viroba shule bei ya kawaida ilikuwa ni 1500 lakini yeye alikuwa anauza kwa 2000

So mimi ndiye nilikuwa supplier wake so ndipo na mimi nilianza kunywa pombe muda huo


Bwana wewe kuna wadaku washkaji wa kisabato wakamsanua mwalimu

Aiseh aiseh lile varangati siji kuja kusahau

Niliamishwa yule hiyo mimi na uyo bro
Unapiga hizo ndude mbele ya hao jamaa. Siku zote msabato lazima achomoe betri.
 
Mimi ni mkongwe kidogo Mwaka 1988 tulibaka mtoto wa Mwalimu mkuu, tulikuwa mtu 8 . Kengele ilipigwa na walimu wakajipanga wa shule nzima . Hakuna Cha kwenda polisi kipindi hicho ila Cha moto nilikipata . Kila Mwalimu alikuwa anakupa viboko Saba unaenda kwa mwingine . Hadi Leo issue ya wanawake zinanikumbusha Hilo TUKIO nilitamani Hadi kuwa padre . Chezea mboko za enzi hizo
 
Niligombea u_headboy nikashindwa Ila wakati wa kutangaza matokeo nikayakataa mbele ya walimu na watumishi wa shule kwa kelele ,wale wanaonikubali nao wakazifuata kelele zangu .
Nikala fimbo nikapoa ,usiku nikashika mic ya chapple wakati kimetulia watu wapo kujisomea nikawatangazia kuwa Mimi ndiye head boy wa shule na aliyepita hatambuliki na yeyote .

Watu wakapiga kelele za shangwe ,asubuhi kengele ikagongwa nikala suspension ya miezi miwili na faini ya milioni mbili kwa kuvunja viti vya chapple maana wafuasi wangu walifanya fujo wakati najitangaza hivyo waliharibu Mali za chapple .

Nimerudi kutoka kutumikia kifungo nikapewa uongozi wa nidhamu ni hapo nikatulia na kuanza kuwasaliti wanafunzi wenzangu wasaliti japo nao walinikunguta walipoona nimebadilika kabisa .

Hivyo naamini hamna kitu kikubwa Kama kucheza na psychology ya mtu ,maticha walijua kucheza na akili yangu Ila wakaniponza school mob ikataka kuniua .๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mwamba mwenyewe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ story nzurii
 
Mimi nimesoma day sasa nilimdanganya bimkubwa hela ya Mock examinations nikatia cha juu.Sina hili wala lile kwa mbali nikamuona bibi anatinga skuli kufanya uhakiki.Huku nyuma kengele ikapigwa nikatuhumiwa nimekula hela ya mstaafu.
Kwa zile stori majamaa walivyokuwa wananipa na mateacher walivyokuwa wananitamani.Kufika homu nikamwambia bibi niliongeza cha juu na bila kushurutishwa na mtu nimeamua kuacha shule .
 
nilichongesha muhuri washule,nikafanyia mazoezi sahihi ya basa nikapatia ,nikaenda mjini kufanikisha kitabu Cha risiti , masela wakaanza kulipa ada na michango kwangu........ mpaka Leo shule ilikula hasara Milion of money,kumbe kwenye masela palikuwa na kenge ,akashindwa kujitetea lakini hakunitaja mpaka Leo na meja jeshi la goma congo

ebwana ,Ile siku siisahau mana nilitakiwa nitajwe ila hakunitaja
Mpaka Leo ,pamoja Yuko jeshi la kongo Mimi ndo mshauri binafsi
Watu aina yako ndo mnatusumbua serikalin mpaka wa leo ,mna gushi mikataba ya uongo ,mnaingiza nchi matatzon Kwa akili zenu zilizo pitiliza
 
Kupiga vibao matron mimi na shoga angu Mkurya mmoja hivi. Kengele ikagongwa tukalambwa stick na kuambiwa tufuate wazazi. Tukakodi wazazi wa mchongo kufika ofisini Matron akasema kama hatufukuzwi shule yeye anaacha kazi tukaona jau hapa. Kuna manzi moja Matron aliwahi iomba rushwa ili ampitishie magendo na sisi tulikuwaga tunampa hela atununulie vitu nje tukaanza kusema kuwa Matron huwa anaomba Rushwa. Badae ikawa win win situation tukapigwa pale viboko na wale wazazi feki tukaendelea na Masomo.
 
Kunakipindi nilikua nasoma shule ya msingi kulikua kuna mama anapika mihogo nje ya shule, kwakua shule ilikua na uzio kwahyo kwenda kununua ni kipengele.

Mimi nlikua na fahamika vzur kwa kutoboa fensi, kwahyo nilikua napewa hela na darasa zima naenda kuwaletea mihogo wakati wa mapumziko..

Siku moja nikaingia tamaa ile hela ya wanafunzi nikanunulia saa kali ya mkononi..

Nkarudi darasani huku ninalia wanauliza mihogo iko wapi nkawaambia mwalimu Apolo amenishika nikiwa napita kwenye fensi akaniambia niile mihogo yote na fimbo za kutosha nimekula.

Sasa ubaya nikwamba kuna mtoto wa mwalimu akakazirika akaenda ofisini akamwambia mamake anaomba hela maana mwalimu apolo amemwambia Ayos ale mihogo yetu.

Kumbe mwalimu apolo akuwepo siku hiyo yaani nilikuja kuchukuliwa msobemsobe yani sita sahau milele lile tukio.. mpaka leo stakagi kabisa kuvaa saa naichukia yani nkama nina aleji na saa
Jamani jamani ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ mnaniua kwa kicheko
 
Back
Top Bottom