MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hapana Kaka ulikuwa uchu wa madaraka tu hamna lolote maana hata nilipopata madaraka bado niliwasaliti wapiga kura 😀😀Spirit ya Savimbi au Maalim Seif hii [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Kaka ulikuwa uchu wa madaraka tu hamna lolote maana hata nilipopata madaraka bado niliwasaliti wapiga kura 😀😀Spirit ya Savimbi au Maalim Seif hii [emoji23]
Ni kweli mkuu Ila Sasa ni mzalendo Sina tena tabia za kifisadi na usaliti kwa wapiga kura Kama enzi hizoHahaha. Ulizingua mno boss.
Wadudu gani hao?Nilikmatwa na roba limejaa wadudu mbalimbali
DuuhNilikmatwa na roba limejaa wadudu mbalimbali
Ushimen unatoa neno gani kwa baba yake Chukwu emeka ambaye kwa sasa ni mwenda zake.Mi dingi yangu alikuwa boss wa waalimu wilaya fulani early 1990's na alikuwa kauzu sana,nilizingua nyumbani wakati nipo darasa la nne,akaja shuleni bila taarifa yoyote akagonga kengere mwenyewe, wanafunzi wote mstarini,mi sina hili wala lile nikajua mshua amekuja na mishe zake za Kazi, daah si nikaitwa mbele ya wanafunzi kama 400 hivi,dingi akaomba fimbo,nikala fimbo tano,baada ya hapo akasema makosa yangu na kutoa wosia pale,basi tukarudi darasani,nilichukia sana.
NB: Pamoja na hayo lakini Baba alikuwa mtu poa sana,ukipigana huko umepiga mtoto wa mtu,pale kwenye kesi atakuwa mkali sana ila mkitoka anakwambia safi,usikubali kuonewa kizembe,mengi aliyonihimiza yamekuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu.REST IN PEACE (25/11/1998)
Hahaha. Safi.Ni kweli mkuu Ila Sasa ni mzalendo Sina tena tabia za kifisadi na usaliti kwa wapiga kura Kama enzi hizo
Kunakipindi nilikua nasoma shule ya msingi kulikua kuna mama anapika mihogo nje ya shule, kwakua shule ilikua na uzio kwahyo kwenda kununua ni kipengele.
Mimi nlikua na fahamika vzur kwa kutoboa fensi, kwahyo nilikua napewa hela na darasa zima naenda kuwaletea mihogo wakati wa mapumziko..
Siku moja nikaingia tamaa ile hela ya wanafunzi nikanunulia saa kali ya mkononi..
Nkarudi darasani huku ninalia wanauliza mihogo iko wapi nkawaambia mwalimu Apolo amenishika nikiwa napita kwenye fensi akaniambia niile mihogo yote na fimbo za kutosha nimekula.
Sasa ubaya nikwamba kuna mtoto wa mwalimu akakazirika akaenda ofisini akamwambia mamake anaomba hela maana mwalimu apolo amemwambia Ayos ale mihogo yetu.
Kumbe mwalimu apolo akuwepo siku hiyo yaani nilikuja kuchukuliwa msobemsobe yani sita sahau milele lile tukio.. mpaka leo stakagi kabisa kuvaa saa naichukia yani nkama nina aleji na saa
Mi nilimwekea mwalim kioo . Si unajua gauni ukiwwka kioo pecha inaeleke chini hivyo kila kitu ndani unakiona ...Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6.
Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
Nilipenda sana vitabu, nikiingia library sitoki, sasa mmoja aliiba vitabu bahati mbaya mimi ndiye nilionekana ikapigwa kengele,, kilichofuata Siri yangu, ila kusoma raha jamani.Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6.
Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..