Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,kwanza nikiri wazi
kwamba JF siyo tu mtandao wa kupashana habari na kuongeza uwezo wa
kujenga hoja kinzani lakini pia,ni moja kati ya sehemu inayonipa raha
hata ninapokuwa na stress kutokana na shughuli za kila siku.
Leo napenda tuchangie mada hii iliyonifanya nicheke baada ya
kutathmini baadhi ya majina ambayo watu wanayatumia hapa JF mfano
Mbogo,Popobawa,Gandagumu,Mtimkavu,Mcameroon,kitimoto n.k
Binafsi nilipojibatiza jina la Gandagumu ilikuwa ni kuendeleza
kumbukumbu ya itikadi ya U-hardcore niliyokuwa nayo sekondari miaka
mingi iliyopita.Niliamini katika kujikaza na kupambana kuyafanya yale
ambayo wengi wanashindwa kuanzia lifestyles,mtazamo,maamuzi,mahusiano na
weledi...! |Je,wewe ulifikiria nini ulipojibatiza jina unalolitumia
hapa JF?
Hiyo yako ni kali kaka mm Dine halitofautiani sana na jina langu halisi
Kuchasoni Kuchawangu said:...Mkuu nakushukuru sana kwa simulizi kali,fupi na inayobeba maudhui ya kweli haswa kwa upande wa kina dada na mama zetu wanaodhani aibu ni heshima.Natamani ungefanyika mchakato wa kuzikusanya na kuhariri hadithi nzuri toka asili ya makabila yetu kwani zinaburudisha kuliko hata bia.
Ni kweli mkuu,zipo hadithi nzuri za asili zetu zenye mafundisho.Kuchasoni Kuchawangu said:...Mkuu nakushukuru sana kwa simulizi kali,fupi na inayobeba
maudhui ya kweli haswa kwa upande wa kina dada na mama zetu wanaodhani
aibu ni heshima.Natamani ungefanyika mchakato wa kuzikusanya na kuhariri
hadithi nzuri toka asili ya makabila yetu kwani zinaburudisha kuliko
hata bia.