Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 170
- 315
Ushauri wa hovyo kabisa, simu ndo kila kitu, hata ikipatikana nafasi ya kazi au kibarua inakua rahisi watu kumjuzaUza simu hio unayoingia mayo jamii forum alafu nunua unga na michele weka ndani na gas jaza kabisa utakuja kunishukuru badae alafu ingia mtaani au njoo hulu town pita kila ofisi omba kaz kila siku ndani ya wiki utakua ushapata
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha tu...yaani nilishawahi vushwa barabara ya vumbi na mtoto wa chekechea...siji kusahau...
Aisee.Unakuta kadeti na jeans zako zinapauka mpaka ukiitwa usaili unawaza navaa nini? Hiyo hali muisikie tu aisee!!!
Walau Leo umecommentMshahara wa 300k 400k hata ukilipwa kwa miaka 10 ukija kusimamishwa mwaka tuu ni vilio na kusaga meno
Hii ni kwasabb mshahara huo ni ngumu mtu kuweka akiba hasa kama ana watu wanao mtegemea
Kawaida ndio bongo africa kama kuna kalaana flani hivi..!Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu.
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Huu wimbo mjomba wangu aliupiga usiku mzima .Hii ni baada ya kukamata milioni 18.Mwaka 2002 .Mwamba alikuwa anadharaulika ila hakuna aijuae kesho.Alinunua makorokoro yote siku moja.Kitanda,tv ,redio ,desktop halafu akaenda saloon akakata nywele ,akarudi maskani akasugua miguu kwa msasa laini .Usiku mzima hii ngoma ilikuwa inarindima tu.Umenikumbushaaa mbali.Maisha?! Usimharakishe Mungu kwa kweli.Don't worry about a thing
'Cause every little thing gonna be alright
Singin', "Don't worry about a thing
'Cause every little thing gonna be alright"
Rise up this mornin', smile with the risin' sun
Three little birds pitched by my doorstep
Singin' sweet songs of melodies pure and true
Sayin', "This is my message to you""
Singin', "Don't worry about a thing
'Cause every little thing is gonna be alright"
Singin', "Don't worry, don't worry 'bout a thing
'Cause every little thing's gonna be alright"
View attachment 3004145
Yani njaa mpaka unakula mbegu? Au hata mbegu huna?Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.
Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu.
Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Itakuwa una rundo la nguo. Na mwaka mzima hujanunua nguoa zitakuja kuchakaa kwa pamoja.Duh mkuu,mbona mimi naweza kukaa zaidi ya mwaka sijanunua nguo? Na ziko poa tu. Hapa nilipo sijanunua nguo tangu mwaka jana
Mjomba alikua na machungu sanaHuu wimbo mjomba wangu aliupiga usiku mzima .Hii ni baada ya kukamata milioni 18.Mwaka 2002 .Mwamba alikuwa anadharaulika ila hakuna aijuae kesho.Alinunua makorokoro yote siku moja.Kitanda,tv ,redio ,desktop halafu akaenda saloon akakata nywele ,akarudi maskani akasugua miguu kwa msasa laini .Usiku mzima hii ngoma ilikuwa inarindima tu.Umenikumbushaaa mbali.Maisha?! Usimharakishe Mungu kwa kweli.
Unatoka magetoni ili ionekane unaenda kushughulika kumbe huna mishe yoyote, usiombe yakukuteNilikuwa naanza asubuhi napenda daladala lakini sijui naenda wapi, kikifika mwenge pale naenda kukaa kuna bar moja pale mwenge stendi enzi hizo sijui panaitwa kwa mama nani sijui, makaa pale weee siagizi chochote mpaka saa 10 ndiyo narudi home Dah sitasahau
Maisha haya we acha tu.Mjomba alikua na machungu sana
KabisaUnatoka magetoni ili ionekane unaenda kushughulika kumbe huna mishe yoyote, usiombe yakukute
Sio kweli 😊😅Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.