Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

X harudiwi otherwise unataka magonjwa tu. Unafhani kipindi mmeachana alikuwa amekaa kukusubiri wewe tu enhee!
 
Umeongea Point

Kitu ambacho nampima Mwanamke kwa sasa ni je sio MBINAFSI? Je ana TAMAA? hivyo ndio vitu vya msingi sana kabla ya kuangalia neno MAPENZI ya dhati.

Juzi kati nilipanda Daladala akaja Mdada mzr kwel kwel, nikasema huyu hanishindi nikitak kumtokea ila nikajiuliza je ni walewale? Nilichofanya kabla kondakta hajaja nilimuomba anilipie nauli (in a mid serious way) alichonijibu kuwa "Siwezi kukulipia nauli labda unilipie wewe alaf mie nikulipie siku nyingine" anaongea hivyo huku kashik elf 10 nauli ni 500 tu, bas akaja kondakta nikalipa naul yangu na yake. (Akashukuru) nikapokea nikawa busy na simu mpk nashuka ktk gari sijamuongelesha tena. Tulishuka wote na mie nikatangulia mbele kwa mwendo wa (I don't care anymore)

For me ilikuw test ya kupima Utayari na ubinafsi wa mtu hata kwa Stranger ana react vipi? Au ana negative perceptions? Ana faa hata kuwa nae karibu kama friends? Jibu ni NO.
 
Hapo kuna exception kwa sababu ni stranger na maybe hakuwa interested na wewe so huwezi conclude moja kwa moja kuwa ni mbinafsi

Labda kama mngekua mnafahamiana na akakaza kukulipia nauli ndo unaweza sema ni mbinafsi
 
sure mkuu, mtu unakuwa na pisi hata zawadi haikuletei inataka uiletee wewe kwanza... Pisi zina roho ya kimaskini na ubinafsi kichizi, Yaani ni pisi ambayo imejijengea kwamba mwanaume hawezi kula hela yake ila yenyewe ndo anastahili kula ya mwanaume... Binafsi kujua tabia hiyo huwa naijua ndani dk 0 tu naijuaje? Mfano pisi zile ambazo hadi ianzwe salamu na yenyewe ndo imekukuta umeitangulia kabla... unailia wambuzi mwanzo mwisho wa safari umeng'ata meno.
 
Hapo kuna exception kwa sababu ni stranger na maybe hakuwa interested na wewe so huwezi conclude moja kwa moja kuwa ni mbinafsi

Labda kama mngekua mnafahamiana na akakaza kukulipia nauli ndo unaweza sema ni mbinafsi
Sh 500 kwake isingempunguzia pakubwa kiasi cha kuanza kuangalia huyu namjua or simjui.

Tukiweka hiyo ni kwamba hata siku mtu umeanguka njian watu wakupite tu kwa kuwa hawakujui jambo ambalo si sahihi..

Mie natreat stranger vizuri kuliko yule ninaefahamiana nae.
 
Heheh, amna watu wachoyo kama WANAWAKE. ingawa ukimbahatisha yule aliye real utakula sana zawadi zawadi zake etc , ingawa miaka ya hiv karibuni wameisha hao. Wapo wale wa nitumie na ya kutolea.
 
Heheh, amna watu wachoyo kama WANAWAKE. ingawa ukimbahatisha yule aliye real utakula sana zawadi zawadi zake etc , ingawa miaka ya hiv karibuni wameisha hao. Wapo wale wa nitumie na ya kutolea.
wapo wanaoweza kuishi nao ila me siwezi
 
Nadili na niliyeoa, hao wengine ni chapa nenda. Sipendi tena mimi, nakulaga na kutema
 
Mkishachezewa na kuharibiwa future na Kuwa single mamas ndio mnatafuta wanaume waliozubaa mmalizie nae maisha, wanaume tukatae Ma scrapper Hadi ladha hamna
Wazanzibari wanapenda used yani Zanzibar kila kitu used Wanawake used, Magari used, Vitu vya ndani Used
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…