Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Ila lazima uogope rafiki, imagine wazazi Wana ona hii kenge ime wahi wapi 😂😂.

Hapo USI kute wali kuwa Wana taka upige kitabu hatarii.
Vipi shemeji yetu haku taka kukimbia aisee??, maana nahisi nae alikuwa mdogo!!

Ila hongera Sana mkuu.
Yani we acha tu.
Na nilikuwa na akili hatar, as pamoja na mimba bado nilifaulu fresh mtihani wa kidato cha nne.

hata naye was mdogo ,tulikuwa tunawahi nini sijui yarrabi
 
Yani we acha tu.
Na nilikuwa na akili hatar, as pamoja na mimba bado nilifaulu fresh mtihani wa kidato cha nne.

hata naye was mdogo ,tulikuwa tunawahi nini sijui yarrabi
Hongera Kwa kufaulu, hope uta walinda wanao kisawa sawa.

Beside ndo Mahusiano yanavyo Anza, nyie mli panga fantasy Ika pelekea another chance😂😁
 
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).

Hii changamoto mojawapo vijana wanaiogopa (majukumu)

20240413_233755.jpg
 
Back
Top Bottom