Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
sikumbuki ilikua vipi lakini nafikiri ilikua kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia comment #217 katika uzi huu huu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤝Mkuu Shimba ya Buyenze huu ukimya, una maanisha huna mtoto au 😁
Umeona hayo maneno niliyo bakiza Baada ya kuku quote, I really appreciate thinking na ushauri wako.mbinafsi usiyejali. Na definition yangu ya kufeli maisha ni pale unapojikuta wanao wanapitia magumu yale yale uliyopitia wewe baba yao!. Kama wazazi tunatakiwa angalau kuwaandalia wanetu maisha mema (elimu bora, viassets...) hata kama sisi wenyewe si matajiri wa kupigiwa mfano.
4. Ukijenga urafiki (wenye mipaka) na mwanao basi unakuwa umemaliza. Huyu binti ni rafiki yangu sana na tunaongea karibu kila kitu. Hata hekaheka zake na vibaharia vyake huko mi ndiye mshauri wake mkuu. Bichwa huwa linanivimba balaa akiniambia "I wish one day I will find a man like you. You are a good man dad. Thank you for everything!". Kwangu mimi haya ni mafanikio makubwa sana!
View attachment 2967799
Same here Nasoma hapo kwenye mixed feelings .. naona machozi yananilenga lenga .Nilikuwa na mixed feelings, shauku na uoga.
Nilipata bahati ya kuwepo mtoto alipokuwa anazaliwa na kupata fursa ya kumbeba alipofutwa tu. Kwa mara ya kwanza nadhani nilitokwa na machozi ya furaha, yani nilijikuta machozi tu yananitoka.
Ilikuwa ni hisia nzuri mno.
Hakuna mtu yeyote anaeweza kukufundisha jinsi ya kuwa mzazi bora, just be the best you can be kwa kuwepo katika kila hatua ya ujauzito mpaka kujifungua kwa mzazi mwenzio. Kumbuka kila kitu kwako ni kipya hivyo ni sawa kuwa na hofu na uoga.
Funzo pekee ambalo nahisi ni muhimu ni kupanga na mwenzi wako kupata mtoto, nahisi hapo utaenjoy zaidi process yote mpaka mtoto kuzaliwa.
Hongereni sana mkuu, changamoto zozote mlizo kumbana nazo kabla na baada ya kupata mtoto??I was shocked, amazed .. I was filled with joy laughter . Nilikuwa mixed feelings Nilikuwa nakwenda sokoni kila Siku kama mwendawazimu , nikimlazimisha mama wa mwanangu ale kila Chakula ambacho nilijua ni Bora kwa ajili yake Kevin ..then tarehe 7 Siku ya Jumapili usiku wa saa mbili wonder was born .. The day namhold yule kiumbe at first kwenye mikono yangu ilikuwa Siku ya j3 Asubuhi ya saa 2 .. nje ya hospital aise nilibubujikwa machozi yenye hisia mchanganyo .
Ugomvi wa hapa na pale baina yangu Mimi na mama yake mzazi , I was only 23 , not yet matured . Mambo mengi nilikuwa nafanya kwa hisia siyo akili . Sikuwa na balance btn heart and brain , ila nilivuka salama . Sikuwahi kupenda mtu ila huyo jamaa nilimpenda nampenda na nitazidi kumpenda . Najua unajua nini maana ya upendo bro .Hongereni sana mkuu, changamoto zozote mlizo kumbana nazo kabla na baada ya kupata mtoto??
Hahaha, kwanini una sema hivyo mkuu??.Kutafuta jina la kumpa huyo mtoto
Nakuelewa mkuu, binafsi familia ndo kitu muhimu sana.Ugomvi wa hapa na pale baina yangu Mimi na mama yake mzazi , I was only 23 , not yet matured . Mambo mengi nilikuwa nafanya kwa hisia siyo akili . Sikuwa na balance btn heart and brain , ila nilivuka salama . Sikuwahi kupenda mtu ila huyo jamaa nilimpenda nampenda na nitazidi kumpenda . Najua unajua nini maana ya upendo bro .
Une chelewa, muda huo Lucas Mwashambwa, atakuwa kaweka sanamu la mama kizimkazi pale ufaransa🤣🤣Nasoma maoni siku nikipiga mimba binti wa mtu akanizalia kijana wa kiume 🦾naenda kuweka sanamu lake Eiffel Tower
Mwanangu atakula maisha wwUne chelewa, muda huo Lucas Mwashambwa, atakuwa kaweka sanamu la mama kizimkazi pale ufaransa🤣🤣
Fresh jombi,Haina noma kiroho Safi, sema akiwa wa kiume muite cheusi makala, wa kike mwite cheusi Mangala 😄😁Mwanangu atakula maisha ww
😁😁Sisi waethiopia sio weusi sanaFresh jombi,Haina noma kiroho Safi, sema akiwa wa kiume muite cheusi makala, wa kike mwite cheusi Mangala 😄😁
Kaka amka usije uka kojoaz hiyo ndoto mbaya sana ,😂😂😁😁Sisi waethiopia sio weusi sana