Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Nilipata mtoto wangu wa kwanza nikiwa na miaka 17, kiukwrli nilikuwa na hisia mchanganyiko.
-Nilikua naogopa yet sijui naogopa nini
-Nilikuwa nina aibu as nilijiona dah, mi ndo naonekana muhuni mtaani
-Nilikuwa na majuto as niliona nimeaibisha walezi wangu as baba na mama walikwishafariki
-Nilikuwa nina hasira as nilijua sitasoma tena
-Nilikuwa ninahamu ya kumuona mwanangu as nilihisi atakuwa kama kamdoli
-Nilikuwa ninawivu as nilijua boyfrien wangu angeniacha
Yani tu kwa ujumla nilikuwa na sintofahamu kibao.
Binti yangu sasa ana miaka 26.
Leo hii ukiniuliza nitakwambia yafuatayo
KUTUNZA MIMBA NA KUKUBALI KUWA MAMA KWA UMRI ULE, ILIKUWA NI UAMUZI THE BEST NILIWAHI KUFANYA KWENYE MAISHA YANGU!
Dah, hongera sana.maika 17 ilikua ndo unachipukia kabinti I can imagine Mimi umri huo nilivokua kajinga.Hongera once again.
 
26+17=43
 
Mimi kidogo huwa niko tofauti, kwanza unapokuwa umeoa kwa ndoa kabisa, suala la kutarajia kupata mtoto ni jambo lenye kusubiriwa kwa hamu sana na kutarajiwa, na ikitokea kinyume chake, kwa maana shamba lisipoleta natija, hali huwa tofauti.

Mimi mke wangu anapo enda kujifungua kwanza akili yangu inahama kabisa, na kitu ninachokiwaza kwanza ni usalama wake, kwamba je atatoka salama au la. Uzazi wa siku hizi umekuwa na changamoto sana.

Namshukuru sana Mola wangu, kwa kunijaalia mke mwenye kuzaa sana. Najivunia kuwa baba mwenye watoto wengi. Mola wangu akilinde kizazi changu na kukihifadhi pia.
 
Sitaki kukumbuka wala kusimulia.Kwa sababu,nilimtia mimba mwanafunzi mwenzangu.Hebu fikiria wewe mwenyewe.
Mwanzoni nlikia na hofu ya namna ingekuwaje, lakin mtoto alipozaliwa ikawa furaha sana..ila baada ya kuvurugwa na mama wa mtoto niliwapotezea mpaka leo na hua sina hata wazo kuhusu wao
 
True na mimi sijawapima wanangu hapa Tanzania maana najuwa kamba zake, kwani mke wangu akijuwa anaweza kumuomba mpimaji kumpa uroda ili adanganye na mwishowe anakuja kuzaa tena mtoto mwingine nje ya ndoa na mpima DNA wakisingizia ni wangu
Hapo uki cheza Kama cr7 mzee, hope hakujua ulicho fanya 😀😂
 
mbona hamsemi kukesha na wana wenu wakil@?? badala ubembeleze mtoto alale unalala wewe? mimba zile morning sickness zikizidi hapana 🙌🙌🙌🙌🙌 mtoto wangu wa kwanza nilijiapiza kamwe sirudi leba uchungu ule uliitwa jina ukaitika kwanza uchungu umenizidi sura ya baba mtu ilinijia nilibamiza ngumi ukuta nikasema shubaamit yan nateseka yeye yupo hapo mlangon anasubiri kupewa taarifa mimi nateseka, kitu pekee nachopenda kuelekea kua mzazi ni kipindi cha mimba tu the rest nooo
 
Dah, hongera sana.maika 17 ilikua ndo unachipukia kabinti I can imagine Mimi umri huo nilivokua kajinga.Hongera once again.
Yani sijui hata nilikuwa nawahi nini, well Mungu alijua nikiwa umri huu ningehitaji binti wa umri wa binti yangu!
 
Back
Top Bottom