Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Yani we acha tu.
Na nilikuwa na akili hatar, as pamoja na mimba bado nilifaulu fresh mtihani wa kidato cha nne.

hata naye was mdogo ,tulikuwa tunawahi nini sijui yarrabi
 
Yani we acha tu.
Na nilikuwa na akili hatar, as pamoja na mimba bado nilifaulu fresh mtihani wa kidato cha nne.

hata naye was mdogo ,tulikuwa tunawahi nini sijui yarrabi
Hongera Kwa kufaulu, hope uta walinda wanao kisawa sawa.

Beside ndo Mahusiano yanavyo Anza, nyie mli panga fantasy Ika pelekea another chanceπŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…