Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Vijna wawe makini, unaweza jikuta unamtongoza mama mkwe
 
Mmmh Intelligent businessman waenda kuwa baba nini jamani twambiee tuu 😅
 
Hongera sana Mkuu
 
kumbe unaakili ila unajitoaga ufahamu tu😆😆,ila hongera kwa kuwa baba bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…