passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Kwanza pole kwa msiba mkuu, na imagine maumivu mliyo kuwa nayo mkuu.Tulipoteza mimba mbili kabla ya hiyo ya 3. Miezi ya mwanzo ilikuwa na uoga mwingi sana kuhisi nayo itapotea.
Naamini nilienjoy zaidi ile process sababu tulishapitia mengi na mzazi mwenzangu mpaka kufikia ujauzito huo.
Shauku ilikuwa ni kubwa mno hasa kuelekea kwa zile siku za kujifungua. Ilikuwa special zaidi sababu tulikuwa mbali na familia zetu kumaanisha we were the only family for each other. Kila kitu kilikuwa kipya kwetu, but worth it.
Was was❌Supplimentary yangu ya kwanza chuoni ilikua ninkwasababu hii hii, siku naingia kupiga final exam ya visual basic programming ndio siku nimepigiwa simu my girl kapata uchungu kakimbizwa hospital.
- hofu
- was was
- ile feeling kwamba, "itakuaje?"
Mtihan nilikua naona maruwe ruwe tuu
Mkuu kwa nini hukutarajia wakati sayansi darasa la sita inasema mbegu zina safari moja tu ya kuwahi kurutubisha yai?Binafsi nijiskia vibaya maana kutengenza familia isiyo tarajiwa kama mliooana inakua kipengele kingine
Mzee ile paper niliingia final nina course work ya 38/40 ila zile marks 60 za kwenye final niliambulia 9 tu na si kwamba yalikua mageni ila yakanifua mbaya mbaya nikalamba 9/60. Wenge la kuitwa baba.Hahaha, halafu nili kusahau kaka Ivan Stepanov dah na imagine ulivyo kuwa na wenge😃.
Imagine uukizwe swali la kuhusu internet, we una waza aisee wata toka salama kweli??.
KWenda kuleeeeeee kwenye uzi wa kiswahili fasaha 😂😂Was was❌
Wasiwasi✅
Hongera Sana mkuu kwa ujasiri ulikuwa nao.Nilitambua sasa nimeleta kiumbe kipya duniani maisha yake ni wajibu wangu kuyatengeneza na kumwandalia kesho yake .
Ukipata taarifa umempa binti ujauzito , hakuna sababu ya kuuliza uliza ni yangu ama ni yake kama uliiloweka,wewe fungua account weka pesa ya mtoto na mama yake .
Kuna usemi wa Kiafrika usemao, inachukua kijiji kizima katika malezi ya mtoto. Usemi huu unamaanisha kuwa malezi ya watoto yanahamasishwa na familia zao na watu wengine wanaowazunguka.2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.
Hata binti yako anaweza endeleza ukoo wako mkuu , kidume anaweza chapiwa watoto wote ukakuta hawana hata uhusiano na wewe bora nusu shari kuliko shari kamiliMosi, nilikuwa na furaha imechanganyika na uoga wa kutosha il
hisia haieleweki
Pili, mke pindi anajifungua nilikuwepo. Kutoka pale nikaelewa utofauti wa mtu unpompa “cheo” cha mke na mwanmke mwingine tu.
Tatu, nilipojua ni mtoto wakiume hapa ndipo nilipochanganyikiwa zaidi, mara nyingi mke wangu alikiwa akisema huyu dume ila mimi nikawa nasema jike. Na c ndani kumejaa midoli niliyokuwa nanunua na yeye alikuwa akinunua matoy ya kiume.nikapata mtu wa kuendeleza ukoo maana kwetu nimezaliwa wakiume peke yangu.
Asante Sana kwa ushauri mzuri na murua mkubwa.Kuna usemi wa Kiafrika usemao, inachukua kijiji kizima katika malezi ya mtoto. Usemi huu unamaanisha kuwa malezi ya watoto yanahamasishwa na familia zao na watu wengine wanaowazunguka.
Hakuna mfumo maalum katika malezi ya watoto ila familia na jamii nzima ina jukumu kubwa katika malezi ya watoto, ikiwemo kuwalea kwa mapenzi makubwa. Kuna baadhi ya mambo ni ya kuzingatia sana;
Upendo wa dhati katika malezi ya mtoto ni muhimu sana. Upendo wa dhati humaanisha kumpenda mtoto pasipo na masharti, kumpenda wakati wote anapokosea na anapofanya vizuri, kumuonya na kumrekebisha kwa upendo ilihali akijua hata kama amekosea anarekebishwa kwa upendo.
Mapenzi kwa mtoto yanajenga uaminifu, misingi mizuri ya uadilifu na heshima. Mapenzi haya yalenge kumjenga mtoto kihisia na kisaikolojia na hii itafanya kazi ya malezi kuwa rahisi.
Lazima tukumbushane ili tupunguze hili tatizo la uvivu wa kuandikaKWenda kuleeeeeee kwenye uzi wa kiswahili fasaha 😂😂
Tatizo chaji sasaLazima tukumbushane ili tupunguze hili tatizo la uvivu wa kuandika
Kiswahili kiheshimiwe..! Mfwiiiiiii
Tuma tu pesa mkuu , mtoto wala hana makosa , binadamu ni binadamu tu.Hongera Sana mkuu kwa ujasiri ulikuwa nao.
Ila kuhusu uki pata taarifa kuwa binti ana mimba, sometimes tuna ona watu wanavyo bambikiziwa hapo mzee.
Hahaha, lazima upate wenge aisee😃.Mzee ile paper niliingia final nina course work ya 38/40 ila zile marks 60 za kwenye final niliambulia 9 tu na si kwamba yalikua mageni ila yakanifua mbaya mbaya nikalamba 9/60. Wenge la kuitwa baba.
BUt hii hali mpaka leo inanifanya kuwa commited sana na madogo. Sijawahi kuzoea moaka leo kuitwa baba licha ya watoto wa 4 sasa, huwa naona nina reaponsibility kubwa mnoo ambayo haizoeleki
Hiyo sio sababu!Tatizo chaji sasa
Samahani mkuu! Uliyezaa nae chuo ndiye umemuoa?Mzee ile paper niliingia final nina course work ya 38/40 ila zile marks 60 za kwenye final niliambulia 9 tu na si kwamba yalikua mageni ila yakanifua mbaya mbaya nikalamba 9/60. Wenge la kuitwa baba.
BUt hii hali mpaka leo inanifanya kuwa commited sana na madogo. Sijawahi kuzoea moaka leo kuitwa baba licha ya watoto wa 4 sasa, huwa naona nina reaponsibility kubwa mnoo ambayo haizoeleki
Hongera Sana mkuu, vipi kuhusu changamoto zozote mlizo kumbana nazo??.Mosi, nilikuwa na furaha imechanganyika na uoga wa kutosha il
hisia haieleweki
Pili, mke pindi anajifungua nilikuwepo. Kutoka pale nikaelewa utofauti wa mtu unpompa “cheo” cha mke na mwanmke mwingine tu.
Tatu, nilipojua ni mtoto wakiume hapa ndipo nilipochanganyikiwa zaidi, mara nyingi mke wangu alikiwa akisema huyu dume ila mimi nikawa nasema jike. Na c ndani kumejaa midoli niliyokuwa nanunua na yeye alikuwa akinunua matoy ya kiume.nikapata mtu wa kuendeleza ukoo maana kwetu nimezaliwa wakiume peke yangu.
Changamoto ni nyingi ngoja nifafanueAsante Sana kwa ushauri mzuri na murua mkubwa.
Hakika ukongwe wako ume onekana.
Vipi kuhusu changamoto ulizo kumbana nazo??