Mkuu mbona unataka niwagombanishe watu kwenye Ndoa zao π πNanukuu,
"""
Binafsi nina njia zangu za kuweza kujua mtoto niliyepata Kwa Mpenzi/Mke wangu ni wangu kweli ama nilibambikiwa π
"""
Ziweke hapa
Kwafaida ya Wana Jf wotee ππ
Kwa maisha ya saivi kibongo kibongo, it does affect both gender kama it was unexpected na hawajajipata, itawatesa sana maana furaha ya kuwa baba inatakiwa iende sambamba na kutimiza majukumu yako kama baba.Be specific kwa me or ke π
Vyema kufanya maandalizi mapema Kwa Mama Kija wakoSalama lakini hatari pia, hope wangu atakuwa mwelewa.
Nisha weka bajeti ya abaya 5 nzuriππ
Kwa kweliMkuu mbona unataka niwagombanishe watu kwenye Ndoa zao π π
Ndiyo maana pamoja na kupima DNA Serikali huwa inatoa majibu ya ndiyo Kwa Kila familia inayoenda kupima π
NimekupataπMkuu mbona unataka niwagombanishe watu kwenye Ndoa zao π π
Ndiyo maana pamoja na kupima DNA Serikali huwa inatoa majibu ya ndiyo Kwa Kila familia inayoenda kupima π
VAR yangu ni Bibi mzaa Baba asee damu yake anaijua tuu sijui huwa anatumia science gani...Nanukuu,
"""
Binafsi nina njia zangu za kuweza kujua mtoto niliyepata Kwa Mpenzi/Mke wangu ni wangu kweli ama nilibambikiwa π
"""
Ziweke hapa
Kwafaida ya Wana Jf wotee ππ
Wazee wazamani Wana VAR zao πππ wanajuaga mno..yupo shangazi yangu Ni VARππVAR yangu ni Bibi mzaa Baba asee damu yake anaijua tuu sijui huwa anatumia science gani...
Barikiwa Mkuu πNimekupataπ
πππKwa kweli
Unakuta wanaume wengine akiambiwa mimba anasepa..Kwa maisha ya saivi kibongo kibongo, it does affect both gender kama it was unexpected na hawajajipata, itawatesa sana maana furaha ya kuwa baba inatakiwa iende sambamba na kutimiza majukumu yako kama baba.
hakuna kuruka steji. Lazima kwanza ukimbiwe uuze uji, uuze vitumbua ndio baadae mtoto akishakuwa na ndevu ndio anakuja. Haiwezekani uvuke steji fasta fasta hivyo we thubutuMungu naiomba hii baraka isichelewe, lakini zaidi responsible father awe pale kwa ajili yetu Mimi na mwanangu,
tafadhali sana Mungu usininyime hili..
sawa.Hata binti yako anaweza endeleza ukoo wako mkuu , kidume anaweza chapiwa watoto wote ukakuta hawana hata uhusiano na wewe bora nusu shari kuliko shari kamili
Sawa mpanga hatma,hakuna kuruka steji. Lazima kwanza ukimbiwe uuze uji, uuze vitumbua ndio baadae mtoto akishakuwa na ndevu ndio anakuja. Haiwezekani uvuke steji fasta fasta hivyo we thubutu
Ume nikumbusha dagaa mchele na kachumbari nyingi πππ€£.Vyema kufanya maandalizi mapema Kwa Mama Kija wako
Sio mtoto wa watu anataka kula Samaki Sato wakati wa ujauzito wake, wewe Baba unampa vile vidagaa Mchele vya Buguruni Rozana π
Hapo una jikuta mjanja, ngoja bibi a left duniani.VAR yangu ni Bibi mzaa Baba asee damu yake anaijua tuu sijui huwa anatumia science gani...
Maisha yanatufundisha vitu vingi sana MkuuUme nikumbusha dagaa mchele na kachumbari nyingi πππ€£.
Yeye ata enjoy kadri niwezavyo, halafu Kwa ubahili wangu naomba apende maji ya bombani tuππ€£
Mi bana kuna siku sijisikii kuongea. π₯ΉShangazi mzuri binti kiziwi, ume niangusha sana Leoπ.
Sema kitu tuji funze vijana π