Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Nanukuu,

"""

Binafsi nina njia zangu za kuweza kujua mtoto niliyepata Kwa Mpenzi/Mke wangu ni wangu kweli ama nilibambikiwa 😜

"""
Ziweke hapa
Kwafaida ya Wana Jf wotee 😊😊
Mkuu mbona unataka niwagombanishe watu kwenye Ndoa zao πŸ˜…πŸ˜…

Ndiyo maana pamoja na kupima DNA Serikali huwa inatoa majibu ya ndiyo Kwa Kila familia inayoenda kupima 😜
 
Salama lakini hatari pia, hope wangu atakuwa mwelewa.

Nisha weka bajeti ya abaya 5 nzuriπŸ˜‚πŸ˜‚
Vyema kufanya maandalizi mapema Kwa Mama Kija wako

Sio mtoto wa watu anataka kula Samaki Sato wakati wa ujauzito wake, wewe Baba unampa vile vidagaa Mchele vya Buguruni Rozana 😜
 
Nanukuu,

"""

Binafsi nina njia zangu za kuweza kujua mtoto niliyepata Kwa Mpenzi/Mke wangu ni wangu kweli ama nilibambikiwa 😜

"""
Ziweke hapa
Kwafaida ya Wana Jf wotee 😊😊
VAR yangu ni Bibi mzaa Baba asee damu yake anaijua tuu sijui huwa anatumia science gani...
 
Kwa maisha ya saivi kibongo kibongo, it does affect both gender kama it was unexpected na hawajajipata, itawatesa sana maana furaha ya kuwa baba inatakiwa iende sambamba na kutimiza majukumu yako kama baba.
Unakuta wanaume wengine akiambiwa mimba anasepa..

All in all,
Kwenye hili wanawake hubeba mzigo mzito usiombe akifukuzwa kwao😊
 
Mungu naiomba hii baraka isichelewe, lakini zaidi responsible father awe pale kwa ajili yetu Mimi na mwanangu,
tafadhali sana Mungu usininyime hili..
hakuna kuruka steji. Lazima kwanza ukimbiwe uuze uji, uuze vitumbua ndio baadae mtoto akishakuwa na ndevu ndio anakuja. Haiwezekani uvuke steji fasta fasta hivyo we thubutu
 
Vyema kufanya maandalizi mapema Kwa Mama Kija wako

Sio mtoto wa watu anataka kula Samaki Sato wakati wa ujauzito wake, wewe Baba unampa vile vidagaa Mchele vya Buguruni Rozana 😜
Ume nikumbusha dagaa mchele na kachumbari nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Yeye ata enjoy kadri niwezavyo, halafu Kwa ubahili wangu naomba apende maji ya bombani tuπŸ˜‚πŸ€£
 
Mtoto ni baraka,ni furaha, mimi wife anajifungua nipo night shift, kazini nilipo simu haziruhusiwi asubuhi nafika camp nakutana na missed calls nyingi za wife, kupiga akaniambia amejifungua mtoto wa kiume πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, furaha, uoga, dah nikawa nawaza katakavyokua kanafanana na mimi hahaha

Nilirudi off baada ya wiki mbili nikamkuta mwanangu tena amelala ilikua raha sana asee, vijana msikimbie ujauzito
 
Ume nikumbusha dagaa mchele na kachumbari nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Yeye ata enjoy kadri niwezavyo, halafu Kwa ubahili wangu naomba apende maji ya bombani tuπŸ˜‚πŸ€£
Maisha yanatufundisha vitu vingi sana Mkuu

Ndiyo maana wengine wakishayapatia baada ya "kuhaso" basi inakuwa ni gambe na Kei πŸ˜œπŸ™Œ

Hayo Maji ya bomba, usisahau kumwambia ayachemshe kabla hajayatumia.

Usiache kumnunulia Neti nzuri ya kumlinda dhidi ya Malaria

Hakikisha Kila Siku unakula "chakula cha usiku" hadi miezi 9 ukamilike ili kuandaa njia ya kumpokea mtoto wenu 😜
 
Back
Top Bottom