Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Wasiwasi
Hofu
Mashaka
Msongo wa mawazo.

Baadae nilikuja kukubaliana na uhalisia.Mtoto anatimiza 6 years soon.
Ana akili,mwelevu,mtiifu,ana uwezo mkubwa sana wa kuhoji.I'm very proud.

Kwetu wanaume,haijalishi uko na mazingira gani,usije kataa mtoto,usije telekeza mtoto,usije kubali mwanao aishi mazingira yasiyomjenga vizuri kimalezi,afya au kimaadili.
 
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.

Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.

Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora?
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).

2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.

3. Kwa mwanaume ni Mambo yapi ya kuzingatia zaidi, hasa Baada ya kupata taarifa hizo.

I mean no malice to nobody.
View attachment 2967184View attachment 2967185
binafsi nilifurahi sana, hasa baada ya kukaa miaka mingi kwenye ndoa bila kupata mtoto, hakika nilimshukuru Mungu aliyeniona hata mimi akanifanya niwe na uzao. Mimi na mke wangu tuliteseka sana, tulitukanwa sana, mke wangu alitukanwa matusi yote, na ndugu zangu hata majirani. kuna siku mtoto wa jirani alifanya kimbwanga akamkemea kama mzazi, mamake akaja akamwambia wazazi tuzae wagumbe muleee, imagine unaambiwa hivyo ukiwa kwenye jaribu la kutafuta mtoto. ninachoshukuru Mungu sikwenda kwa mganga wa kienyeji na sikunywa dawa za kienyeji, tulikubaliana na mke wangu kwamba tutapata watoto wa baraka toka kwa Mungu ama la kama tunabaki hivi tutazeeka hivihivi. SISEMI HIVI ILI KUWAHUKUMU WALIOTELEZA NA KWENDA KWA WAGANGA, No, bado mnayo nafasi ya kutubu, mkamwambia Mungu tumeenda kwa waganga hawajatusaidie, tunarudi kwako tunaomba utusaidie, yeye atawasamehe na atajitwalia utukufu.

naandika hivi ili kuwashauri wanaotafuta watoto, msipoteze muda kwa waganga, mwaminini Mungu.

katika siku tusiyodhania, tukiwa tumekata tamaa tumefika mwisho, Ndipo Mungu alianzia. ile line wewe unafika mwisho wa harakati zako zote hapo ndipo Mungu huwa anatake over na kuanza. ghafla, mke wangu akaanza kujisikia vibaya. nilinunua pregrancy test zaidi ya sita, na kwenda hospitali kadhaa wa kadhaa, nilipima PT zote zikaonyesha mistari ya mimba ila nilikuwa siamini. kumbuka mimi nilikuwa nazijua sana PT kwasababu miaka mingi kila mke wangu akipitisha period nilikuwa napima nione imenasa kumbe bado. tulipima kote wakasema ana mimba, sikuamini bado, nilikuja kuamini nilipoona tumbo limeanza kuwa kubwa na anakataa vyakula kadhaa. hadi anajifungua. KILICHOPO SASAIVI, TUMEPATA WATOTO WENGI HADI TUNAPAMBANA KUZUIA MIMBA ama la inaingia anytime. wale waliokuwa wanatafuta mimba Mungu amebadilisha kibao wanapambana kuzuia mimba. Sifa na utukufu kwa Mungu.

KAMA UNAPITA KWENYE JARIBU LA KUPATA MTOTO, ZINGATIA MISTARI HII, IAMINI, UTAPATA WATOTO, MISTARI HII NDIYO TULIKUWA TUNAIPITIA NA KUIAMINI HADI MUNGU AKATUPATIA WATOTO.

Mwanzo 1 :28, Mungu akawabarikia akisema, zaeni mkaongezeka mkaitiishe nchi.

Zaburi 127 :3, watoto ni zawadi toka kwa Bwana.

Mwanzo 9:1,7, Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, zaeni mkaongezeke. We are the remnants of Noah, we are the survivors of the flood and God blessed us to go and multiply.

Walawi 26: 9, kama tukiyashika maagizo ya Mungu, ataongeza uzao wetu. Tutakuwa na uzazi mwingi, na Mungu atalithibitisha hili agano lake analoliweka nasi kwetu.

Zaburi 128:3, yeyote amchaye Bwana, mkewe atakuwa kama mzabibu uzaao nyumbani mwake. Wanawe watachipua kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yake.

Mwanzo 33:5, Yakobo aliinua macho akaona watoto wa Esau, Esau akasema hawa ndio watoto ambao Mungu alimpa kwa neema yake. Mungu wetu ni wa neema na rehema, anatoaga watoto. Bado anayo neema ya kuwapa watu watoto hata leo hivi, kwasababu yeye ni yeye yule jana leo na hata milele. Habadiliki.

Mwanzo 17:6-7, Mungu alimwambia Ibrahim, Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa na wafalme watatoka kwako. Agano hili alilifanya kuwa kwa vizazi vyake vyote. Kitabu cha Wagalatia 3:6-9 kinasema ya kuwa, sisi tu warithi wa ahadi na baraka zote za Ibrahimu.

2wafalme 13:23, Mungu aliwaangalia wana wa Israel, akawasikitikia, akalikumbuka agano aliloliweka pamoja na ibrahim. Mungu huliangalia Neno lake apate kulitimiza. Neno lake linaweza kutimizwa, lazima litatimizwa kwa mtu yeyote anayeamini. Kama Mungu katika Neno lake anasema kuwa watoto hutoka kwake, na hawatoki kwa mganga wa kienyeji wala kwa miungu iwayo yote, basi, ukidai ahadi hii kwa Mungu atakupa watoto. Ijulikane kuwa, Mungu anao uwezo wa kutoa au kutokutoa watoto kwa watu. Mungu ni juu ya yote, akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana, akisema hapana hakuna wa kusema ndiyo. Hata kama waganga wa kinyeji au wachawi walikuharibu kimazingara usizae, au manuizo ya kiuchawi ya namna yoyote ile, Mungu ana nguvu kuliko wachawi na waganga wa kienyeji. Anaweza akakuponya na utapata watoto. Uwezo huo Mungu anao. Yeye ndiye aliyeumba mbingu na dunia, aliumba mwanadamu pia. Hivyo, hata kama wachawi au shetani amekudhuru, au hata kama dhambi imekudhuru kabisa, imeharibu kizazi mamba inaporomoka, imeng’ofoa kizazi kimazingara ili wakafanyie biashara, hauendi hedhi, hauna nguvu za kiume n.k, Mungu anaweza akakuumba upya, uwezo huo Mungu wetu anao, anaweza akakuumba upya na ukawa mzima na kutimiza yote unayotaka, na watoto utapata, maadamu tu unamtumainia Bwana peke yake, hautumainii miungu mingine, hautumainii wachawi,waganga na wasoma nyota. Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni, hawatatikisika milele, mtumaini Bwana ukatende mema, ukae katika nchi upendezwe na uaminifu, nawe utajifurahisha mbele za Bwana,naye atakupa haja za moyo wako.Amina.
 
Leta kiumbe duniani atabadilika tu huyo mzee baba hutaamini.

Sidanganyiki ng’oo

Sema raha kuanza 0-0 sasa mtu tayari ni 0-1 unafikiri hata ukimletea katoto hatopata amasa kama ya mtoto wa kwanza so i cant
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.

Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.

Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora?
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).

2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.

3. Kwa mwanaume ni Mambo yapi ya kuzingatia zaidi, hasa Baada ya kupata taarifa hizo.

I mean no malice to nobody.
View attachment 2967184View attachment 2967185
Nilikuwa najiuliza kama huyo mtoto ni wangu kweli, nilipata ahueni baada ya maka 3 nilipompima DNA na kugundua ni wangu
 
Binafsi nilikuwa na hisia mchanganyiko za itakuwaje na furaha kupata fursa ya kuwa mzazi kwa sababu sikuwa nimepanga ila ndio ikawa imeshatokea. Ila nilipopata nafasi ya kumuona mwanangu hisia zikabadilika na kuona kuwa nina jukumu kubwa mbeleni la kuhakikisha kizazi chake kinapata maisha bora kuliko niliyoyapitia.
 
Wakubwa wetu Shimba ya Buyenze, binti kiziwi, Dr Lizzy, maoni yenu ni muhimu.
Shimba ya Buyenze nili ona ume like mkuu, japo sija ona kalamu yako mkubwa🙄🤔
29847463sie (295).jpg

Nilichelewa kidogo ila nshatia guu 🙏🏿.

➡️ My first and only daughter. Nilikuwa ndiyo nimeanza masomo ya juu nje ya nchi. Kitabu kinanipelekesha hatari mara vu bin vu eti SYB haki ya nani kumbe umeniacha na mimba. Kidogo masomo yanishinde!

Kwanza nilikuwa na wasiwasi sana kama kweli hiyo mimba ni yangu au nimebambikiwa. Nilikuwa bado kijana na bila experience yo yote na wanawake maana hata huyo baby mama hakuwa mpenzi wangu kivile. Anyway bahati nzuri nilikuwa na full scholarship na kuanzia siku hiyo nilianza kudunduliza vijidola vichache kutoka kwenye stipend yangu ili angalau mtoto wangu aje azaliwe kwenye private hospital na apate mahitaji yote ya msingi katika siku zake za mwanzo. Baada ya kuongea na washikaji wakasema kama una uhakika mimba ni ya kwako, mbona usipambane mtoto wako aje azaliwe huku ili apate na uraia kabisa. Hii itamsaidia wakati wa shule na fursa zinginezo...

Aisee nilihangaika sana, pamoja na kupiga box la ziada mpaka kweli malaika huyo akaja akazaliwa huko ugenini. Bahati mbaya/nzuri mama yake ilibidi arudi Bongo kwenye ajira yake nzuri. Na maisha yakasonga japo baadaye kila kitu kilikuja kuparaganyika; na baby mama akaolewa na majamaa yenye pesa zao huko. Na kuanzia siku hiyo nikawa proud single dad.

Kusema kweli I stopped my life ili kuhakikisha kuwa binti huyu anasoma na kupata kila kitu alichohitaji. I lived frugally (I still do) na kwa nidhamu sana ili angalau kila mwezi niweze kuweka vijidola kadhaa kwenye kiakaunti chake cha mambo ya shule na cha kuanzia maisha yake akifikisha miaka 18. Na niliweza! Mpaka ninapoandika hapa binti yupo anapambana kuwa pediatric cardiologist (daktari bingwa wa moyo kwa watoto) tena katika mojawapo ya chuo kikuu bora kabisa hapa duniani huku akiwa na full scholarship!🙏🏿

1. You haven't real loved anyone mpaka utakapobeba kitoto kichanga kisichojiweza na kinachokutegemea kwa kila kitu. That's the epitome of true love.

2. I was scared to death lakini kilichonisadia wakati ule ni kuwa karibu sana na Mungu. Hata nilipokichukua kibinti hiki kikiwa na miaka miwili tu na kwenda kukilea mwenyewe nilijua kuwa kila kitu kitakuwa sawa na kwamba I was going to be a great dad!

3. Kuwa responsible parent inataka kujitoa sana ikibidi kuahirisha baadhi ya mambo yako na kutanguliza maslahi ya wanao ili wao wasipitie magumu kama wewe uliyopitia. Ukishapata mtoto, it is no longer about you labda kama we ni mbinafsi usiyejali. Na definition yangu ya kufeli maisha ni pale unapojikuta wanao wanapitia magumu yale yale uliyopitia wewe baba yao!. Kama wazazi tunatakiwa angalau kuwaandalia wanetu maisha mema (elimu bora, viassets...) hata kama sisi wenyewe si matajiri wa kupigiwa mfano.

4. Ukijenga urafiki (wenye mipaka) na mwanao basi unakuwa umemaliza. Huyu binti ni rafiki yangu sana na tunaongea karibu kila kitu. Hata hekaheka zake na vibaharia vyake huko mi ndiye mshauri wake mkuu. Bichwa huwa linanivimba balaa akiniambia "I wish one day I will find a man like you. You are a good man dad. Thank you for everything!". Kwangu mimi haya ni mafanikio makubwa sana!

FB_IMG_1702794914208.jpg

5. Muache mtoto afuate ndoto zake. Huyu tangu utoto wake anapenda sana watoto. Miaka na miaka kanisani yupo kwenye infant ministry. Yeye alikuwa ndiye mwangalizi mkuu wa vitoto vidogo vinavyoachwa na wazazi wao wanapokwenda kwenye ibada kuu. Ndiyo maana hata career yake imeangukia huko huko kwenye kusaidia watoto. Mtoto akifanya kitu akipendacho anakuwa na passion sana na anafurahia anachokifanya...and this is priceless!

➡️➡️➡️ Vijana. Hakuna mimba ya bahati mbaya. Kama hauko tayari kuwa baba usiuze mechi hata iweje. Kuwa baba ni jukumu takatifu mno na ogopa sana kuleta kiumbe cha Mungu hapa duniani kama unajua hauko tayari kubeba jukumu hilo takatifu. Na hakuna mwanaume anayedharaulika hapa duniani kama yule anayezalisha tu na kisha kukimbia huku nyuma akiacha mateso ya usingo maza na watoto wasio na upendo wa baba wala male role models katika maisha yao (➡️ Girly men!). Kwangu mimi dhambi hiyo haisameheki; na mwanaume wa aina hii (deadbeat) hana thamani yo yote hapa duniani! 🚮🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
binafsi nilifurahi sana, hasa baada ya kukaa miaka mingi kwenye ndoa bila kupata mtoto, hakika nilimshukuru Mungu aliyeniona hata mimi akanifanya niwe na uzao. Mimi na mke wangu tuliteseka sana, tulitukanwa sana, mke wangu alitukanwa matusi yote, na ndugu zangu hata majirani. kuna siku mtoto wa jirani alifanya kimbwanga akamkemea kama mzazi, mamake akaja akamwambia wazazi tuzae wagumbe muleee, imagine unaambiwa hivyo ukiwa kwenye jaribu la kutafuta mtoto. ninachoshukuru Mungu sikwenda kwa mganga wa kienyeji na sikunywa dawa za kienyeji, tulikubaliana na mke wangu kwamba tutapata watoto wa baraka toka kwa Mungu ama la kama tunabaki hivi tutazeeka hivihivi. SISEMI HIVI ILI KUWAHUKUMU WALIOTELEZA NA KWENDA KWA WAGANGA, No, bado mnayo nafasi ya kutubu, mkamwambia Mungu tumeenda kwa waganga hawajatusaidie, tunarudi kwako tunaomba utusaidie, yeye atawasamehe na atajitwalia utukufu.

naandika hivi ili kuwashauri wanaotafuta watoto, msipoteze muda kwa waganga, mwaminini Mungu.

katika siku tusiyodhania, tukiwa tumekata tamaa tumefika mwisho, Ndipo Mungu alianzia. ile line wewe unafika mwisho wa harakati zako zote hapo ndipo Mungu huwa anatake over na kuanza. ghafla, mke wangu akaanza kujisikia vibaya. nilinunua pregrancy test zaidi ya sita, na kwenda hospitali kadhaa wa kadhaa, nilipima PT zote zikaonyesha mistari ya mimba ila nilikuwa siamini. kumbuka mimi nilikuwa nazijua sana PT kwasababu miaka mingi kila mke wangu akipitisha period nilikuwa napima nione imenasa kumbe bado. tulipima kote wakasema ana mimba, sikuamini bado, nilikuja kuamini nilipoona tumbo limeanza kuwa kubwa na anakataa vyakula kadhaa. hadi anajifungua. KILICHOPO SASAIVI, TUMEPATA WATOTO WENGI HADI TUNAPAMBANA KUZUIA MIMBA ama la inaingia anytime. wale waliokuwa wanatafuta mimba Mungu amebadilisha kibao wanapambana kuzuia mimba. Sifa na utukufu kwa Mungu.

KAMA UNAPITA KWENYE JARIBU LA KUPATA MTOTO, ZINGATIA MISTARI HII, IAMINI, UTAPATA WATOTO, MISTARI HII NDIYO TULIKUWA TUNAIPITIA NA KUIAMINI HADI MUNGU AKATUPATIA WATOTO.

Mwanzo 1 :28, Mungu akawabarikia akisema, zaeni mkaongezeka mkaitiishe nchi.

Zaburi 127 :3, watoto ni thawa toka kwa Bwana.

Mwanzo 9:1,7, Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, zaeni mkaongezeke. We are the remnants of Noah, we are the survivors of the flood and God blessed us to go and multiply.

Walawi 26: 9, kama tukiyashika maagizo ya Mungu, ataongeza uzao wetu. Tutakuwa na uzazi mwingi, na Mungu atalithibitisha hili agano lake analoliweka nasi kwetu.

Zaburi 128:3, yeyote amchaye Bwana, mkewe atakuwa kama mzabibu uzaao nyumbani mwake. Wanawe watachipua kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yake.

Mwanzo 33:5, Yakobo aliinua macho akaona watoto wa Esau, Esau akasema hawa ndio watoto ambao Mungu alimpa kwa neema yake. Mungu wetu ni wa neema na rehema, anatoaga watoto. Bado anayo neema ya kuwapa watu watoto hata leo hivi, kwasababu yeye ni yeye yule jana leo na hata milele. Habadiliki.

Mwanzo 17:6-7, Mungu alimwambia Ibrahim, Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa na wafalme watatoka kwako. Agano hili alilifanya kuwa kwa vizazi vyake vyote. Kitabu cha Wagalatia 3:6-9 kinasema ya kuwa, sisi tu warithi wa ahadi na baraka zote za Ibrahimu.

2wafalme 13:23, Mungu aliwaangalia wana wa Israel, akawasikitikia, akalikumbuka agano aliloliweka pamoja na ibrahim. Mungu huliangalia Neno lake apate kulitimiza. Neno lake linaweza kutimizwa, lazima litatimizwa kwa mtu yeyote anayeamini. Kama Mungu katika Neno lake anasema kuwa watoto hutoka kwake, na hawatoki kwa mganga wa kienyeji wala kwa miungu iwayo yote, basi, ukidai ahadi hii kwa Mungu atakupa watoto. Ijulikane kuwa, Mungu anao uwezo wa kutoa au kutokutoa watoto kwa watu. Mungu ni juu ya yote, akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana, akisema hapana hakuna wa kusema ndiyo. Hata kama waganga wa kinyeji au wachawi walikuharibu kimazingara usizae, au manuizo ya kiuchawi ya namna yoyote ile, Mungu ana nguvu kuliko wachawi na waganga wa kienyeji. Anaweza akakuponya na utapata watoto. Uwezo huo Mungu anao. Yeye ndiye aliyeumba mbingu na dunia, aliumba mwanadamu pia. Hivyo, hata kama wachawi au shetani amekudhuru, au hata kama dhambi imekudhuru kabisa, imeharibu kizazi mamba inaporomoka, imeng’ofoa kizazi kimazingara ili wakafanyie biashara, hauendi hedhi, hauna nguvu za kiume n.k, Mungu anaweza akakuumba upya, uwezo huo Mungu wetu anao, anaweza akakuumba upya na ukawa mzima na kutimiza yote unayotaka, na watoto utapata, maadamu tu unamtumainia Bwana peke yake, hautumainii miungu mingine, hautumainii wachawi,waganga na wasoma nyota. Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni, hawatatikisika milele, mtumaini Bwana ukatende mema, ukae katika nchi upendezwe na uaminifu, nawe utajifurahisha mbele za Bwana,naye atakupa haja za moyo wako.Amina.
Asante kwa ushuhuda mzuri ndugu yangu. Kweli Mungu ni muweza wa yote.

Bila shaka ushuhuda huu wenye nguvu utawabariki wenye changamoto kama mliyopitia wewe na mkeo. Endeleeni kubarikiwa sana 🙏🏿
 
View attachment 2967805

My first and only daughter. Nilikuwa ndiyo nimeanza masomo ya juu nje ya nchi. Kitabu kinanipelekesha hatari mara vu bin vu eti SYB haki ya nani kumbe umeniacha na mimba. Kidogo masomo yanishinde!

Kwanza nilikuwa na wasiwasi sana kama kweli hiyo mimba ni yangu au nimebambikiwa. Nilikuwa bado kijana na bila experience yo yote na wanawake maana hata huyo baby mama hakuwa mpenzi wangu kivile. Anyway bahati nzuri nilikuwa na full scholarship na kuanzia siku hiyo nilianza kudunduliza vijidola vichache kutoka kwenye stipend yangu ili angalau mtoto wangu aje azaliwe kwenye private hospital na apate mahitaji yote ya msingi katika siku zake za mwanzo. Baada ya kuongea na washikaji wakasema kama una uhakika mimba ni ya kwako, mbona usipambane mtoto wako aje azaliwe huku ili apate na uraia kabisa. Hii itamsaidia wakati wa shule na fursa zinginezo...

Aisee nilihangaika sana, pamoja na kupiga box la ziada mpaka kweli malaika huyo akaja akazaliwa huko ugenini. Bahati mbaya/nzuri mama yake ilibidi arudi Bongo kwenye ajira yake nzuri. Na maisha yakasonga japo baadaye kila kitu kilikuja kuparaganyika; na baby mama akaolewa na majamaa yenye pesa zao huko. Na kuanzia siku hiyo nikawa proud single dad.

Kusema kweli I stopped my life ili kuhakikisha kuwa binti huyu anasoma na kupata kila kitu alichohitaji. I lived frugally na kwa nidhamu sana ili angalau kila mwezi niweze kuweka vijidola kadhaa kwenye kiakaunti chake cha mambo ya shule na cha kuanzia maisha yake akikua. Na niliweza! Mpaka ninapoandika hapa binti yupo anapambana kuwa pediatric cardiologist (daktari bingwa wa moyo kwa watoto) tena katika mojawapo ya chuo kikuu bora kabisa duniani huku akiwa full scholarship!

1. You haven't loved anyone mpaka utakapobeba kitoto kichanga kisichojiweza na kinachokutegemea kwa kila kitu. That's the epitome of true love.

2. I was scared to death lakini kilichonisadia wakati ule ni kuwa karibu sana na Mungu. Hata nilipokichukua kibinti hiki kikiwa na miaka miwili tu na kwenda kukilea mwenyewe nilijua kuwa kila kitu kitakuwa sawa na kwamba I was going to be a great dad!

3. Kuwa responsible parent inataka kujitoa sana ikibidi kuahirisha baadhi ya mambo yako na kutanguliza maslahi ya wanao ili wao wasipitie magumu kama wewe uliyopitia. Ukishapata mtoto, it is no longer about you labda kama we ni mbinafsi usiyejali. Na definition yangu ya kufeli maisha ni pale unapojikuta wanao wanapitia magumu yale yale uliyopitia wewe baba yao. Kama wazazi tunatakiwa angalau kuwaandalia wanetu maisha mema (elimu bora, viassets...) hata kama sisi wenyewe si matajiri wa kupigiwa mfano.

4. Ukijenga urafiki (wenye mipaka) na mwanao basi unakuwa umemaliza. Huyu binti ni rafiki yangu sana na tunaongea karibu kila kitu. Hata hekaheka zake na vibaharia vyake huko mi ndiye mshauri wake mkuu. Bichwa huwa linanivimba balaa akiniambia "I wish one day I will find a man like you. You are a good man dad. Thank you for everything!". Kwangu mimi haya ni mafanikio makubwa sana!

View attachment 2967799

5. Muache mtoto afuate ndoto zake. Huyu tangu utoto wake anapenda sana watoto. Miaka na miaka kanisani yupo kwenye infant ministry. Yeye alikuwa ndiye mwangalizi mkuu wa vitoto vidogo vinavyoachwa na wazazi wao wanapokwenda kwenye ibada kuu. Ndiyo maana hata career yake imeangukia huko huko kwenye kusaidia watoto. Mtoto akifanya kitu akipendacho anakuwa na passion sana na anafurahia anachokifanya...and this is priceless!

Vijana. Hakuna mimba ya bahati mbaya. Kama hauko tayari kuwa baba usiuze mechi hata iweje. Kuwa baba ni jukumu takatifu mno na ogopa sana kuleta kiumbe cha Mungu hapa duniani kama unajua hauko tayari kubeba jukumu hilo takatifu. Na hakuna mwanaume anayedharaulika hapa duniani kama yule anayezalisha tu na kisha kukimbia huku nyuma akiacha mateso ya usingo maza na watoto wasio na upendo wa baba wala male role models katika maisha yao. Kwangu mimi dhambi hiyo haisameheki; na mwanaume wa aina hii hana thamani yo yote hapa duniani! 🚮
Hakikisha unakua karibu na bint yako kila atachoitaji baba uwajibike ili ata atpojitambua nakutongozwa aone vitu vya Kawaida ata akihongwa hashangai maana baba ushakaa kwenye nafasi yako😃😃
 
Back
Top Bottom