Na sisi wa 80s hatuwataki babu weee 🤣🤣🤣A ha ha ha ha hapana mkuu, mie naona wa 2000 nyie mishangazi wa 90S chukuliweni na watu 80S, hawa tuliosoma nao sitaki kuwasikia kabisa.
Kwakweli,, wacha niusikilize moyo kwanza nisije kuangukia puaFuata moyo,ukisema subiri we subiri mom
mpaka utumie boost ndio unaweza kupiga viwili hapo umri ushaanza kuachana nina uraia pacha wa duniani na mbinguni sasaWee sema kweli 😃
Duu kumbe experience flan amazingTena anajisifu anavyofanya uharibifu 🤣🤣🤣
Huyu ndio ile mizee ukiipa mkono kuisalimia inakutekenya 🤣
Huyo wa kumchapa bakora Aache tabia mbaya.. Umri huo wenzie wanafukuza sungura na kucheza na wajukuu yeye bado anakimbizana na mabinti 😬😑Ndiioo tena anakuambia mara Moja moja anaenda Chichi, chichi Kwa Tanga nisawa nahapo Liverside mkabala na Boss Kalewa wanapojipanga hao mabinti kuanzia mida ya saa mbili.
Hapana nimejitafuta naona nimejipata Sasa ndio muda wakuoa Sasa, sio unaoa hata bill ndogondogo zinasumbua kibongo bongo chuo mtu unamaliza na Miaka 23/25 Kwa wale tuliosoma chuo course za miaka 4/5 then usugue kidogo kitaa maana hatuna wajomba Ikulu, unakuja kukaa kwenye ajira na miaka 27/28 then inatakiwa ujipange Sasa ndio uoe. Mie watoto wanje yandoa sitaki kuwasikia labda itokee tu ingawa na muomba Mungu anisaidie.Bara ipi?? Huko Mbozi kijana akibalehe anapewa mke.!!
Ww sema mizunguko ishakuchosha umezeeka, sasa age ukiwa na mtoto si anakuwa mjukuu wako 🤣🤣🤣🤣
Kumbe umekuwa jirani yangu, basi nahisi umri wangu umeenda 😂nipo gomz
Hongera sana mkuu.. Umeupiga mwingimpaka utumie boost ndio unaweza kupiga viwili hapo umri ushaanza kuachana nina uraia pacha wa duniani na mbinguni sasa
Mtoto wangu wa pili kamaliza form four,wakati Mimi nilimaliza form four,1990.
Sawa umechelewa watoto watakuwa mazube tofauti na ungewazaa ukiwa 20s 😀Hapana nimejitafuta naona nimejipata Sasa ndio muda wakuoa Sasa, sio unaoa hata bill ndogondogo zinasumbua kibongo bongo chuo mtu unamaliza na Miaka 23/25 Kwa wale tuliosoma chuo course za miaka 4/5 then usugue kidogo kitaa maana hatuna wajomba Ikulu, unakuja kukaa kwenye ajira na miaka 27/28 then inatakiwa ujipange Sasa ndio uoe. Mie watoto wanje yandoa sitaki kuwasikia labda itokee tu ingawa na muomba Mungu anisaidie.
Niko ulongoni karibu jirani 🤣Kumbe umekuwa jirani yangu, basi nahisi umri wangu umeenda 😂
Lamomy jirani yako huyu mie wa Bonyokwa mwenzie umenikimbia Sasa umepata jilan huko Goms.Kumbe umekuwa jirani yangu, basi nahisi umri wangu umeenda 😂