Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

nlianza kuamkiwa nanikajikuta natafuta mjini sijui namtafutia nani ndi zikajaa kumkichwa.
 
Wafate akili zangu tu au za mama yao sio mbaya, labda huyo Zube niwe nimepigiwa au mipango ya Mungu lakini nikioa haka kabinti basi nauhakika wakilisi popote watakua wamepata.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jidanganye
Watoto wa uzeeni wanakuwa magoi goi km wale ma last born..!! Muda wote yanapenda kudeka
 
Kwangu pia hivyo hivyo. Kila ninayekutana naye hunipa hizo Shikamoo. Siyo Shikamoo tu bali wanaongeza "Shikamoo Mzee". Ni wachache sana ambao mimi huwapa hiyo salaam.
Kwangu mimi ni pale wale niliyokuwa naona kama tuko rika moja lakini tukikutana wananipa shikamoo, kingine ni mvi kwenye kidevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…