Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

salamu za mabinti wa chuo na wanawake wakubwa na vijana nikiwa 30's.

Unatambulishwa unasikia "shikamoo" na mtu ana ukomavu wake wa kutosha tu.

Nilipoanza kuitwa mzee "Tsh" kwenye vikao ndo nikathibitisha kuwa yametimia.
 
Kitendo tu cha ku join first year, pale nikajua sasaa hii imeenda. Na sasa huu upara kichwan kwasasa nimeshakubali matokeo, shkamoo mzee si haba, kwenye daladala umasikia konda anakuita "hapo mzee, nauli" ukimpa utasikia "shukrani mzee".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…