Hii ni moja kati ya verse zenu za uongo.Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Dahh 😁🙌All in all the so called vicheche huwa ni watu watamu sana, both wanawake kwa wanaume they are 🔥
Aisee una maswaibu bibie.Mh! Mimi nilishtuka baada ya kuambiwa yeye ni mwanaume hawezi kukaa bila kucheat🥲
Wenye hako kamsemo ka marafiki wengi wa kiume huwa wanashenyentwa mbaya mbovu 😂😂.Hii ni moja kati ya verse zenu za uongo.
Huna tofauti na wenzako wasemao "ooo mimi Nina marafiki wengi wa kiume, marafiki wa kike ni wabinafsi na wambea"
Kuna kiumbe kisichikuwa na tamaa ya pesa? Kama kipo kipo mweziniUkishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.
Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
👏🏽👏🏽Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Hivyo ni visababu vyenu ili kujastify uhuni wenu.Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.
Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
Akca Usidislike toa maoni?Wenye hako kamsemo ka marafiki wengi wa kiume huwa wanashenyentwa mbaya mbovu 😂😂.
Demu anaesema hana marafiki muogope sana.
Mkuu huyu anafanana na yule aliye olewa kule USA RIVER anaanza na herufi A" , jama anaona kapata kumbe manzi anaigawa ile mbayaAlikuwa mtu wa kimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka.
siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga peku.
Sikuwa na tabia ya kupekua simu yake, ambayo ilikuwa na pattern ya kufungua ila kadri tulivyoendelea kujuana kuna siku nilimuona akichora pattern, nikaikrem kichwani, ingawa sikuwa na mpango wa kuitumia.
Lakini siku moja, hamu ya kujua kilichoendelea ikanishinda, nikaifungua, hapo mahusiano yalikuwa na miezi michache.
Nilijituliza. Nikapakua app ya kunyonya meseji zote, nikahamisha kwangu. Baadae nilikaa nikatulia nikaanza kuzisoma, nikaanza kusechi mb*, ku*, $-x, tom*, style, n.k.
Katika chats zile za mwaka na miezi miwili, tulikuwa watu tisa tumeshare mzigo ! Na kati ya hao, watatu tulikuwa wa karibu naye mno. Uwezo wake wa kupanga ratiba na kudanganya ulinitisha.
Nilimtimua !! yule niliyemwona kama malaika, kumbe alikuwa mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.
Kitu kilichokuwa kinanitisha ni HIV baada ya kugundua tunashare wengi, nilipata stress nyingi sana, presha ilishuka baada ya miezi mitatu majibu yalipoonesha nipo safe.
Kuna jamaa alikuwa ameingia deep sana Ilinibidi nimjulishe mwanamke hafai hata kidogo.
Nadhani watu wanatakiwa wawe makini na wewe pia.Hii jinsia wanapenda sana u bore,juzi nilikuwa Morogoro kwenye kongamano fulani, nimetomba wake za watu wawili ndani ya siku 3,mmoja mmbulu ananyonyesha,kuweni makini na wanawake mnaowaoa *****
MImi ex alinikatalia( nilitaka nijaribu sijawahi zama)Nina mmoja na mmoja wa pembeni...
Ngumu sana kukaa na mke tu hapo, kwa namna ambavyo maisha yapo.
Nakumbuka ex wangu aliwahi niambia(baada ya kuachana), alitupanga watatu kipindi na-date nae, sababu kubwa ni hakutaka heartache kwa sababu mpenzi mmoja anaweza muumiza. I was surprised, the way nilikuwa nazama uvinza...maniner!!
Siku ukiumizwa mpaka roho ikaribie kutoka hakika utaweza.Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Ulikua unabugia shahawa za wanaume wenzako hakika kama mwenda wazimuNina mmoja na mmoja wa pembeni...
Ngumu sana kukaa na mke tu hapo, kwa namna ambavyo maisha yapo.
Nakumbuka ex wangu aliwahi niambia(baada ya kuachana), alitupanga watatu kipindi na-date nae, sababu kubwa ni hakutaka heartache kwa sababu mpenzi mmoja anaweza muumiza. I was surprised, the way nilikuwa nazama uvinza...maniner!!
Jamaa tafadhali acha kunisambazia mimi sifa mbaya jukwaani..Mmekutana ukubwani,
Sio bikira,
Alishawahi danganya mpaka wazazi wake, kisa kwenda tuu kuililia
Kwanin uumie na kuteseka moyo,
Nileteeni Heineken 4 safii za barrriidi na shoti plus mududu best wa Poor Brain mla kitimoto poor brain
Ahahahhaha aje tuu kwa sasa napeleka moto mpaka imekua story mtaani hapa.. kuna umoja wa wamama wameandamana et wanasema nabaguaAisee una maswaibu bibie.
Kama uko above 35yrs mcheki Poor Brain ana neno nawe.
Acha ubishi wewe. Kwani umeshawahi kuwa mwanamke hadi unibishie?Hivyo ni visababu vyenu ili kujastify uhuni wenu.
Kuwa na wapenzi wengi hakuna sababu ya kukosa mpenzi mwenye Hela au kuwa na mpenzi usiyempenda Bali ni hulka ya umalaya wenu.
Hapo kwenye simu Yako una backup za kutosha, tiyari unajua nani anafuata baada ya uliyenaye.