Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ilipaswa niwaache waende zao mapema..,ila kiume nikakomaa nikidhani nafanya kitu sahihi ..,

Leo hii wao ndio wamesepa zao na kuniacha mwanaume naweweseka na ndoto juu yao

natamani nirudi miaka saba nyuma na kufanya maamuzi tofauti.,

mana hali niliyo nayo leo haipaswi kuwa kwa mwanadamu yoyote yule
Duu
 
Back
Top Bottom